• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Mwenge wa Uhuru Wilayani Rufiji Juni 3 - 4, 2017

  • Mmoja wa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw: Mashaka Mfaume (wa pili kutoka kushoto) akiupokea Mwenge wa Uhuru toka kwa Mmoja wa wakimbiza Mwenge kitaifa katika viwanja vya Shule ya Msingi Umwe Juni 3, 2017.

    Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji wakiwa kwenye mistari tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya Shule ya Msingi Umwe Juni 3, 2017

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji (wa pili kutoka kushoto) Mhe: Juma A. Njwayo akitoa maelezo mafupi kuhusu kiwanda cha maziwa cha Ikwiriri kwa Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Bw: Amour Hamad Amour Juni 3, 2017 katika eneo kilipojengwa kiwanda hicho

    Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bw: Amour Hamad Amour akikagua chumba kimojawapo katika jengo la upasuaji kituo cha Afya Ikwiriri mnamo juni 3, 2017

    Mmmoja wa wananchi anayeishi na maambukizi ya UKIMWI akitoa ushuhuda jinsi dawa za ARV zinavyosaidia kurefusha maisha kwa mwenye maambukizi ya UKIMWI.

    Risala fupi ya ujenzi wa jengo la upasuaji kituo cha Afya ikwiriri ikisomwa kwa kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2017 katika viwanja vya kituo cha Afya Ikwiriri Juni 3, 2017

    Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa (kushoto) akikagua na baadae kuzindua mradi wa maji wa Mbwara katika viwanja vya Shule ya Sekondari Mbwara juni 3, 2017.

    Kiongozi wa mbio za Mwenge (kulia) akipokea maelezo kuhusu mradi wa kilimo cha ufuta kutoka kwa mkulima mwenye shamba lisilopungua ekari 57 kijiji cha Nyamwege barabara ya kwenda Utete, mnamo Juni 3, 2017

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji wakitoa heshima kwa Mwenge wa Uhuru wakati Risala ya Utii ya wananchi kwa Rais ikisomwa katika viwanja vya Utete Sekondari Juni 3, 2017.

    Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Bw: Amour Hamad Amour akitoa ujumbe wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2017 kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji katika viwanja vya Shule ya Sekondari Utete Juni 3, 2017.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa