• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Historia

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ni mojawapo ya Halmashauri tisa za Mkoa wa Pwani.  Kwa upande wa kaskazini imepakana na Halmashauri za Wilaya za Kisarawe na Kibiti, upande kusini imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa kwa upande wa Mashariki imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Kwa upande wa Magharibi imepakana na Mkoa wa  Morogoro.



 MAUMBILE YA ARDHI NA HALI YA HEWA.

Wilaya ya Rufiji imegawanywa na mto mkubwa wa Rufiji utokao Magharibi na kuelekea Mashariki kwenye bahari ya Hindi. Maumbile ya ardhi ya Wilaya hii yamegawanyika katika kanda kuu mbili. Kanda ya bonde la mafuriko la mto Rufiji (Flood Plain), ni ukanda unaopata mafuriko mara kwa mara ukiwa na urefu wa km. 130 kutoka Magharibi hadi Mashariki na upana wa wastani kati ya km. 7-35, kuna mabwawa/maziwa (oxbow lakes) zaidi ya 13, ukanda wa pili ni ukanda wa juu/milimani. Wilaya ya Rufiji inapata wastani wa milimita 800 – 1,200 za mvua kwa mwaka. Wastani wa kiwango cha chini cha joto ni digrii 20 sentrigredi na kiwango cha juu ni digrii 33 sentrigredi


 TAKWIMU NA TAARIFA MUHIMU

Halmashauri ya wilaya ya Rufiji ina ukubwa wa Kilometa za mraba 9,485 kwa eneo la maji na nchi kavu.  

Halmashauri ya wilaya ya Rufiji inaundwa na kata 13, vijiji 38 na vitongoji 177 (kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ina wakazi   94,626 (wanaume 45,683 na wanawake 48,943) na ongezeko la watu kwa mwaka ni asilimia 0.7. Kwa makadirio mwaka 2017 Wilaya ina wakazi 106,227 (wanaume 51,284 na wanawake 54,943) wastani wa watu 4.4


HALI YA UONGOZI

Katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25/10/2015, matokeo ni kwamba Mbunge aliyechaguliwa ni kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM).  Kwa upande wa madiwani jumla ya madiwani 18 walichaguliwa ambapo kutoka Chama cha Mapinduzi wapo 10 na kupitia chama cha wananchi CUF wapo madiwani 8. Aidha, kwa upande wa Madiwani wa Viti Maalum wapo 5 ambapo 3 wanatoka chama cha Mapinduzi CCM na 2 kutoka chama cha wananchi CUF



HALI YA MAENDELEO YA WILAYA KWA UJUMLA (SHUGHULI ZA KIUCHUMI)

Inakadiriwa kuwa karibu asilimia 95% ya wakazi wa wilaya ya Rufiji wanajihusisha na shughuli za kilimo na uvuvi. Mazao makuu ya biashara ni korosho na ufuta. Kwa upande wa mazao ya chakula ni mahindi, mpunga, mihogo mikunde. Asilimia 5% ni watumishi katika serikali kuu, Halmashauri, mashirika ya umma na binafsi. Kwa wastani pato la kila mwananchi kwa mwaka (per capital income) ni Tshs. 1,272,855/= Wastani wa watu kwa kaya ni 4.4


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa