• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TAWA, FRANKFURT WAJENGA BWENI SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA

Posted on: December 2nd, 2025

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA, kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la uhifadhi (Frankfurt Zoological Society) wamejenga  Bweni katika Shule ya Sekondari Mchengerwa Kata ya Ngarambe Wilayani Rufiji lililogharimu kiasi cha Shilingi milioni 252, ambalo litakuwa na uwezo wa kuchukua Wanafunzi wa kike 80, ambalo litawasaidia Wanafunzi wa kike kukaa karibu na Shule.

Bweni hilo limezinduliwa jana Novemba 2, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba, katika Shule ya Sekondari Mchengerwa

Mhe. Komba aliwashukuru TAWA na Frankfurt kwa ujenzi wa Bweni hilo ambalo litawarahisishia Wanafunzi wa kike kukaa karibu na Shuleni, ili waweze kusoma kwa bidii

"nawashukuru sana kwa namna ambavyo mnaiunga mkono Serikali kwa kuboresha miundombunu mbalimbali ya maendeleo na mmeweka mahusiano mazuri na jamii" DC Komba.


Kwa upande wake, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi TAWA, Abraham Jullu, amesema TAWA pamoja na Frankfurt, licha ya kuwa na jukumu la kuhifadhi lakini imeamua kuleta faida ya uhifadhi kwa jamii inayopakana na pori la akiba hasa katika Sekta ya elimu, ambapo kwa Kata ya Ngarambe wamejenga Bweni hilo ambalo kitahudumia Wanafunzi wengi katika Shule hiyo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA BWENI SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA

    December 02, 2025
  • WAFUGAJI RUFIJI WAPEWA WIKI MBILI KUPELEKA MIFUGO KWENYE LANCHI

    December 01, 2025
  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA DARASA NA OFISI YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MWASENI

    December 01, 2025
  • MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WAPATIWA MAFUNZO RASMI

    October 25, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa