• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MIFUGO ITAKAYOKUWA NJE YA RANCHI KUKAMATWA

Posted on: December 29th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba amesema kuanzia Disemba 31, 2025 ataanza oparesheni ya kukamata mifugo yote itakayofugwa nje ya ranchi (maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya Shughuli za ufugaji), ili kupunguza kero ya mara kwa mara kati ya Wafugaji na Watumiaji wengine wa ardhi, ambayo ni kero kubwa kwa Wananchi wa Rufiji.

“kesho tarehe 30 ndo terehe ya mwisho, kuanzia terehe 31 kamati ya usalama tayari nishasaini maelekezo ya kuanza kukamata mifugo yote ambayo itakuwa nje ya ranchi” alisema DC.

Mkuu huyo wa ulinzi na usalama wa Wilaya alitoa kauli hiyo jana Disemba 29, 2025 baada ya kupokea kero hiyo kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Shela na Kata ya Chumbi katika ziara yake ya kikazi ya kuhamasisha ulimaji wa zao la korosho, ambapo miche 1, 500,000 inakwenda kugaiwa bure kwa Wananchi wa Rufiji kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa zao hilo na kukuza uchumi wa Rufiji.

Mhe. Komba aliongeza kwa kusema kuwa swala la ranchi ni sera ya kitaifa, na adhima ya Serikali ni kuona Mfugaji anakaa kwenye maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za ufugaji ili kuepusha migogoro kati ya Wafugaji na Watumiaji wengine wa ardhi, na sio kumkandamiza Mfugaji, huku akiwasisitiza Wafugaji ambao mpaka Sasa hawajachukua ranchi kuweka mifugo yao kwa Wafugaji waliochukua ranchi wakati wakishugulikia swala la ranchi.

Mhe. Komba alitumia takribani mwaka mmoja kwa ajili ya kutoa elimu kwa Wafugaji ya kuwataka wakae kwenye maeneo maalumu ya shughuli za ufugaji yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya kupunguza migogoro ya mara kwa mara inayojitoleza katika Wilaya hiyo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MIFUGO ITAKAYOKUWA NJE YA RANCHI KUKAMATWA

    December 29, 2025
  • MBEGU ZA KOROSHO ZIMESHAFIKA, WANANCHI ANDAENI MASHAMBA- DC KOMBA.

    December 03, 2025
  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA BWENI SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA

    December 02, 2025
  • WAFUGAJI RUFIJI WAPEWA WIKI MBILI KUPELEKA MIFUGO KWENYE LANCHI

    December 01, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa