• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Ardhi na Maliasili

Majukumu ya Idara ya Ardhi na Maliasili

• Kuratibu uandaaji wa Mipango ya kimbinu ya kuendeleza Miji (Strategic Urban Development Plan).

• Kuratibu uandaaji wa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela.

• Kuandaa michoro ya mipangomiji.

• Kutoa masharti ya uendelezaji wa Ardhi.

• Kupokea michoro ya Mipangomiji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji.

• Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi.

• Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanda.

• Kuhakikisha kwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro.

• Kusimamia/Kuthibiti uendelezaji  wa makazi.

• Kuratibu uandaaji wa mipango shirikishi ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji.

• Kutoa ushauri wa uendelezaji wa ardhi kwa wananchi.

• Kukagua kazi za Upimaji.

• Kupima maeneo mbalimbali (Mashamba na viwanja).

• Kuandaa michoro kwa ajili ya Hatimiliki za kisheria.

• Kutunza kumbukumbu za Upimaji.

• Kurudisha mipaka.

• Kuhifadhi na Kutunza Misitu na  Mazingira.

• Kuhimiza na kusimamia upandaji wa miti na kutunza misitu vijijini.

• Usimamizi, ulinzi na utunzaji wa misitu na rasilimali zake.

• Usimamizi wa sheria za Misitu.

• Kusimamia, na kufuatilia  makusanyo na ushuru wa mazao ya misitu.

• Ulinzi na usimamizi wa vyanzo na kinga za maji, utunzaji wa udongo na ulinzi wa mimea.

• Kusimamia hifadhi za misitu na kutoa elimu kwa jamii.

• Kusimamia shughuli zote za ufugaji nyuki vijijini.

• Kutunza mazingira ya  nyuki yaliyopo pamoja na kupanda miti ifaayo kwa nyuki.

• Kuhamasisha na kueneza kwa  jamii na wanavijiji kufuga na kutunza nyukii  kisasa.

• Kuhamasiha jamii kutengeneza mizinga  ya  kisasa  ya gharama nafuu kwa kuzingatia mazingira yao

• Kuunda na kusimamia vikundi vya ufugaji nyuki vijijini.

• Kusimamia mazao ya ufugaji nyuki.

• Kutoa elimu kwa jamii kuhusu ufugaji nyuki wa kisasa huko vijijini.

• Kuhamasiha watu binafsi taasisi mbalimbali kufuga nyuki kwa lengo la kujiongezea kipato na lishe.

• Kutunza mazingira na wanyamapori.

• Kusimamia shughuli zote za wanyamapori vijijini.

• Kulinda watu na mazao kutohariibiwa na  wanyamapori.

• Kushughulikia leseni za uwindaji wa wanyamapori.

• Kulinda wanyamapori.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa