• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAFUGAJI RUFIJI WAPEWA WIKI MBILI KUPELEKA MIFUGO KWENYE LANCHI

Posted on: December 1st, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba ametoa wiki mbili kwa Wafugaji kuhakikisha mifugo yao inakaa kwenye lanchi (maaeneo Maalum yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya ufugaji) ili kuepusha migogoro kati Wafugaji na Watumiaji wengine wa ardhi.

Mhe. Komba alitoa maagizo hayo Jana Disemba 1, 2025 wakati akizungumza na Wafugaji katika Ukumbi wa FDC- Ikwiriri.

"kuanzia leo mpaka Disemba 15 mwaka huu Kila Mfugaji mifugo yake ikae kwenye lanchi, sitaki kusikia Mfugaji anaenda kulisha kwenye shamba la Mkulima" alikemea DC.

Vile vile Mkuu huyo wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya, ametoa siku 30 kwa Wafugaji ambao mpaka Sasa hawajachukua lanchi, huku akiwataka mifugo yao kuihifadhi kwa Wafugaji ambao tayari wana maaeneo ya kufugia mpaka pale watakapopata maeneo yao, ili kuepusha migogoro ya mara kwa mara.

Maamuzi hayo yamekuja baada ya awali DC kutoa miezi mitatu kutoka Septemba mpaka Novemba 30, 2025, Kila Mfugaji alitakiwa awe kwenye lanchi, ambapo bado wapo baadhi ya Wafugaji ambao hawajachukua lanchi.

Katika hatua nyingine ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Komba amewataka Wananchi wa Rufiji kulinda amani ya Wilaya hiyo na kuepuka kujihusisha na uvunjifu wa amani huku akiwataka kutoa taarifa endapo wataoana Kuna dalili za uvunjifu wa amani.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA BWENI SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA

    December 02, 2025
  • WAFUGAJI RUFIJI WAPEWA WIKI MBILI KUPELEKA MIFUGO KWENYE LANCHI

    December 01, 2025
  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA DARASA NA OFISI YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MWASENI

    December 01, 2025
  • MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WAPATIWA MAFUNZO RASMI

    October 25, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa