• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

UJENZI WA ZAHANATI YA NYANDAKATUNDU

Start Date: 2022-01-03
End Date: 2022-09-30

Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ilipeleka fedha Shilingi 50,000,000.00 katika akaunti ya Kata ya Chemchem kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Nyandakatundu ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mh. Waziri wa nchi OR – TAMISEMI  kwenye  kitabu chake cha hotuba cha Mpango na Bajeti katika mwaka wa fedha 2021/2022.  Hata hivyo Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imetoa fedha Kiasi cha Shilingi milioni 300 kwa ajili ya ujenzi mpya wa Zahanati 6 ambapo Zahanati ya Nyandakatundu ni mojawapo na umaliziaji wa Zahanati 2

 

Ujenzi wa Zahanati ya Nyandakatundu ulianza tarehe 03.01.2022 na ulitarajiwa kukamilika mnamo tarehe 05/04/2022 Ujenzi huu unatekelezwa kwa mfumo wa “force account” na fundi aitwaye Saimon Masatu.  Kutokana na kutokuwepo kwa fundi eneo la ujenzi kwa muda mrefu, Kamati inayosimamia ujenzi ilivunja mkataba nae na kuingia mkataba na fundi Athumani Salum kuanzia tarehe 18/04/2022 hadi tarehe 20/06/2022 ambaye ameanza hatua ya kupaua na ataendelea mpaka kumalizaka kwa  ujenzi. 

Hatua inayoendelea kwa sasa ni hatua ya umaliziaji.

Mpaka sasa kiasi cha Shilingi 48,943,427.00 zimetumika, ikiwa ununuzi wa vifaa  imetumika Shilingi 44,213,427.00 na malipo ya fundi Shilingi 4,730,000.00. Bado tuna Shilingi 1,056,573.00 zinazoendelea kutumika. Nguvu za wananchi katika utekelezaji wa mradi huu ni Shilingi 5,435,000.00 kwani walijitolea eneo lenye ukubwa wa ekari 1, kununua tanki lenye ukubwa wa lita 3000 na mpira wenye urefu wa Mita 600. Pia walijitolea kusafisha eneo kabla ya kuanza utekelezaji wa mradi.   Tayari Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kupitia wataalam wa Halmashauri imeshafanya tathimini ili kuongeza fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati hii kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

 

Kukamilika kwa mradi huu kutasaidia Wananchi wa Nyandakatundu kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu Zaidi ya kilomita 4 kufuata huduma za Afya katika hospitali ya Wilaya ya Utete.  Pia kutapunguza sana vifo vitokanavyo na Uzazi.

Changamoto kubwa iliyojitokeza ni kutokuwepo kwa fundi kwa muda mrefu hivyo kuchelewa kwa muda wa utekelezaji.  Utatuzi umefanyika kwa kuingia mkataba na fundi mwingine kama ilivyoelezwa hapo juu.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa