• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TAARIFA YA MRADI WA UJENZI WA VYUMBA 04 VYA MADARASA NA OFISI 02 SHULE YA MSINGI NYAKIPANDE

Start Date: 2022-01-26
End Date: 2022-04-26

 KWA WATAALAM KUTOKA OR - TAMISEMI TAREHE 16.05.2022 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Rufiji kwa  mwaka wa Fedha 2021/2022 alitoa kiasi cha shilingi 80,000,000.00  kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 04 vya madarasa na Ofisi 02 kwa shule ya msingi Nyakipande. Katika kukabili tatizo  la wanafunzi kusomea chini ya Mikorosho iliyopo katika eneo la Shule ili mlazimu Mkurugenzi kufanya maamuzi ya haraka kupitia Fedha za mapato ya ndani.

Shule ilipokea fedha kiasi cha Shilingi. 80,000,000.00 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi  tarehe 26/01/2022. Ujenzi ulianza 15/02/2022 na kukamilika 26/04/2022. Mradi umetekelezwa kwa mfumo wa “Force Account,” na Fundi aliyejenga ni Ulomo Group. Mradi umetumia kiasi cha shilingi 78,374,545.00 ikiwa Shilingi 12,000,000.00 ni malipo ya fundi na Shilingi 66,374,545.00 ni kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya ujenzi na salio likiwa shilingi 1,625,455.00.

Kukamilika kwa ujenzi kumesaidia kuondoa upungufu wa vyumba vya madarasa katika Shule ya Msingi Nyakipande, hivyo kuondoa tatizo la msongamano wa wanafunzi darasani na kuondoa tatizo la wanafunzi kusomea chini ya mikorosho.

Changamoto kubwa iliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi ni kupanda kwa bei ya vifaa vya ujezi. Aidha, kamati ya ujenzi kwa kushirikiana na wataalam wa kutoka Halmashauri walifanya manunuzi kwa kutumia nukuu za bei kutoka wazabuni wenye bei chini kulingana na bajeti iliyopo.

Tunamshukuru sana Muheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani kupitia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kwa kutupatia fedha zilizowezesha ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa na ofisi ambavyo vimebadilisha taswira nzima ya Shule yetu na kuonekana mpya.

Tunawashukuru pia Wataalam kuoka OR _ TAMISEMI kwani ujioa wenu umetoa faraja kwetu ya kuendelea kuchapa kazi na Kuunga Mkono kauli mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan isemayo ‘Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee’.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa