• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAPENDA RUSHWA WAONYWA

Posted on: January 17th, 2023


Na. Emmanuel Kapandila - Rufiji


Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa onyo kali kwa Wafanyabiashara hususani wauzaji wa vifaa vya ujenzi kujihusisha na vitendo vya Rushwa na kuwa hatomfumbia macho yeyote atakayebainika anajihusisha na vitendo hivyo hususani katika uuzaji wa vifaa kwa miradi ya Serikali.

Meja Gowele ametoa onyo hilo  Januari 17. 2023 katika kikao cha baraza la biashara la Wilaya kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Utete Wilayani Rufiji.



“Tutakapokugundua hufanyi biashara Kwa uaminifu . hatutakufunmbia macho. Ni lazima tuhakikishe wote tunaongeza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa kujibidiisha na kujipatia kipato kwa njia  halali.  Tusiwaumize wananchi wetu. Rasilimali tulizonazo ni lazima tuzisimamie kwa mujibu wa sheria” Alisisitiza Meja Gowele.



Awali akitaja changamoto za Mapato Afisa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Malegi Duba amesema changamoto ya ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya ulipaji kodi, na kutokuwepo kwa uaminifu kwa baadhi ya wadau wanaolipa kodi, pamoja na kuingiza bidhaa kwa njia za magendo imekuwa ni sabau kubwa ya kuinyima mapato serikali kiasi cha kukosa mapato ambayo yangeweza kutumika kuboresha miundombinu ya kibiashara.



“walipa Kodi wengi hawataki kuwa wazalendo Kwa kufungua biashara na kukadiriwa mapato Yao. Wote wanatakiwa kutambua kuwa kulipa kunatoa fursa ya kuboresha miundombinu ya kuongeza mapato katika biashara na huduma kwa ujumla.” Alisema Duba.



Kwa Upande wake kamanda wa TAKUKURU Wilaya ya Rufiji Marcus Mlaponi amewataka wafanyabiashara kuwa waaminifu na kutumia uaminifu kama fursa ya kuichangia Serikali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia kamati zinazoundwa kusimamia miradi hiyo.



     “ niwaombe wafanya biashara. ninyi mkikataa Kufanya udanganyifu zile Kamati hazitaweza Kufanya udanganyifu na tutaokoa fedha nyingi zinazopotea . tuone ni fursa kwamba tukifanya biashara Kwa uadilifu tunatengeza mchango Kwenye miradi ya Serikali. " udanganyifu unaofanyika ni kosa la jinai. tusiweke Bei za Serikali  na wanunuzi wakawaida zikawaida .” alisistiza kamanda wa TAKUKURU



Wadau wa Biashara wameomba kuongezeka kwa kasi ya utoaji wa elimu ya biashara huku wakiomba kutazamwa upya Kwa baadhi ya viwango vya Kodi.












Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa