• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WANARUFIJI NAOMBA TUSHIKAMANE MAMBO MAZURI YANAKUJA

Posted on: September 27th, 2020

 Mh. Patrick K. Sawala Mkuu wa Wilaya ya Rufiji akiwa katika bonanza la michezo katika viwanja vya Ujamaa Ikwiriri. Bonanza hilo ni la pili baada ya baada ya bonanza la kwanza kufanyikia Utete makao makuu ya Wilaya ya Rufiji likiwa na lengo la kuwaunganisha Wananrufiji kushirikiana na kuwa kitu kimoja katika Kuleta maendeleo.
Akizungumza na maelfu ya Wananchi, Mkuu wa Wilaya amewataka Wananchi wa Ikwiriri kutambua thamani ya Umoja na Upendo na kuwa maamuzi ya amani yanaletwa na Wanarufiji wenyewe na tunu ya amani ni maendeleo." Sisi ndio tutakao leta amani na Sisi ndio tutakaoivuruga amani yetu. Tusikubali mtu mwingine atuharibie amani yetu na tukimbaini tumuondoe Mara moja." Alisema.
Sambamba na hilo amewasisitiza Wananchi kuwa na mawazo yenye kuona na kutambua jitihada na maendeleo katika jamii zao badala ya kuwa na fikra za kibaguzi kwa kujali makabila, rangi au vyama vyao. " Tunapoelekea Uchaguzi Mkuu nawasisitiza chagueni viongozi watakaotuletea maendeleo bila kujali makabila yao, rangi zao au vyama vyao. Maendeleo ya Rufiji yanaletwa na uamuzi wetu. Wote tunaziona jitihada hivyo maamuzi ni yetu." Alisema.
Aidha amemshukuru Katibu Tawala Bi. Maria Katemana pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Rashidi Salum Salum pamoja na Watendaji wote wa Halmashauri kwa Ushirikiano mzuri wanaotoa katika kufanikisha maswala ya kimaendeleo kwa Wananchi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa