• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WANANCHI RUFIJI WAPATA MAFUNZO YA UMILIKI WA ARDHI.

Posted on: January 31st, 2024

Wakati wiki ya sheria ikiadhimishwa nchini, Wananchi wa Kata ya Chemchem Wilayani Rufiji Mkoani Pwani wamepata semina ya mafunzo ya namna ya bora ya kumiliki ardhi kihalali kwa kupata hati miliki, hali itakayosaidia kupungunza migogoro ya ardhi katika maeneo wanayoishi.

Mafunzo hayo yametolewa leo Januari 31, 2024 katika Shule ya sekondari ya Chemchem ikiwa ni kampeni ya Linda Adrhi ya Mwanamke iliyoandaliwa na mashirika mbalimbali ikiwemo Jukwaa la Ardhi Tanzania, Shirika la kutetea haki za binadamu LHRC na Shirika linalofanya kazi na serikali na mashirika ya ndani kupata haki za sheria za ardhi kwa familia masikini, LANDESA.

Wananchi Walitumia semina hiyo kuuliza maswali ili kuepuka migogoro ya ardhi, ambapo Mkazi wa Kitongoji cha Utunge Kata ya Chemchem Rahimu Matimbwa alitaka kujua ni ipi haki ya mtu aliyeishi katika eneo kwa kufuata taratibu za umiliki wa ardhi na baadae eneo hilo limeingia kwenye mamlaka ya mji mdogo.

“kwa mfano sisi tumeingia kwenye mamlaka ya mji mdogo, kuna Mwanakijiji kabla ya kuingia alipimiwa (ardhi) na alifuata taratibu zote na baadae mji umetolewa umeingia kwenye mamlaka ya (mji mdogo), je zile taratibu za kumiliki ile ardhi yake bado zipo au zinakufa?” aliuliza Matimbwa.

“kama ulipima na ukawa na ramani yako, tukiamisha mji unachukua zilezile, ila wale wengine hawatopata hati kama hawana ramani” Nyendo Kaombwe alijibu Afisa Ardhi Rufiji.

Katika hatua nyingine, Mratibu wa jukwaa la ardhi Benard Baha, amewashauri wanawake kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kufanya maamuzi ya kimaendeleo.

Akitoa shukrani na pongezi kwa wawezeshaji wa kampeni hiyo baada ya mafunzo baadhi ya Wananchi akiwemo Hamada Mpitu amesema amepata somo kwamba haki ni sawa kati ya mwanamke na Mwanaume.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa