• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WANAFUNZI BIBI TITI SEKONDARI WATAKIWA KULIPA HADHI JINA LA BIBI TITI MOHAMED

Posted on: February 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba, amewataka Wanafunzi wa Shule maalumu ya Sekondari ya Wasichana Bibi Titi Mohamed wanaohitimu elimu ya Kidato cha Sita 2025 kujitoa Katika Kusoma kwa bidii ili kuhakikisha ufahulu unaendana na hadhi ya jina la Mwanaharakati na Mbunge wa Kwanza wa Rufiji Bibi Titi Mohamed, huku akitoa wito kwa Wahitimu wengine wa Kidato Cha Sita kuleta ufaulu ambao utaipa hadhi Rufiji.


"naamini mtakapoenda kufanya mitihani mtaweka Viwango vya ufaulu ambavyo vinaakisi hadhi ya Bibi Titi Mohamed. hii Shule ya Bibi Titi Mohamed imepewa jina kubwa la Mwanaharakati ambaye anahistoria kubwa Katika Taifa letu.

Ukiangalia Mazingira yake na majengo yake yanaakisi hadhi ya Bibi Titi Mohamed naamini hata Viwango vya elimu vinavyotolewa hapa vinaakisi hadhi ya Bibi Titi Mohamed".

Mhe. Komba aliyasema hayo wakati akihutubia Katika Mahafali ya kwanza ya  Kitado Cha Sita 2025 ya Shule ya Sekondari Bibi Titi Mohamed yaliyofanyika jana Februari 28, 2025 Katika Bwalo la Shule hiyo.

DC aliongeza kuwa, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imehakikisha miundombinu ya elimu inakuwa rafiki Katika kuwawezesha Wanafunzi watimize ndoto zao.

"Serikali inajua na inafahamu umuhimu wa Shule hii ndio maana imewekeza fedha nyingi na kuhakikisha inakuwa na Mazingira bora" aliongeza DC.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Chemchem Ally Manganje alitoa Shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule za Sekondari Katika Kata yake huku alisema kuwa wakati anaingia Mwaka 2010 hakukuwa na Shule ya Sekondari katika Kata yake.

"wakati Kata hii tunaianzisha hakukuwa na Shule hata Moja ya Sekondari, lakini mpaka sasa tuna Shule za Sekondari Tatu. Ndugu Mgeni Rasmi hii ni hatua kubwa ambayo tumepiga" alisema Manganje.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa