• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA

Posted on: February 24th, 2022


Hayo yamesemwa Jana  februari 24.2022katika Ukumbi wa mazingira (REMP) wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji wakati wa Mafunzo kwa Wamiliki wa Vyombo vya usafirishaji majini na Wataalamu wa Halmashauri idara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya yaliyotolewa na Shhirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).
Akifunga Mafunzo hayo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Kaimu Katibu Tawala ambaye pia ni Afisa Tawala wa Wilaya ya Rufiji Salum Gumbo amewataka Wamiliki na watumiaji kuhakikisha wanafuata Sheria za matumizi ya Vyombo hivyo ikiwemo usajili, pamoja na matumizi ya vifaa vya kiusalama ili kuepuka madhara ya ajali za majini yanayoweza kupoteza maisha ya Watu .
" Uzingatiaji wa Mafunzo haya utaleta usalama kwa raia na Mali zitakazokuwa zinasafirshwa majini na hatimaye kuchangia Vizuri katika ukusanyaji wamapato." Alisema Gumbo.
Gumbo ameishukuru TASAC kwa kuona umuhimu wa kutoa Mafunzo ya kujenga uelewa wa pamoja kwa Wamiliki wa Vyombo hivyo kwani elimu hiyo itachangia kwa kiasi kikubwa katika kuboresha huduma, uwajibikaji , usalama na hatimaye kuleta tija inayokusudiwa na Serikali.
Kwa upande wake Mwanansheria toka TASAC Wakili Devotha  Mandanda ametoa msisitizo kwa Wamiliki wa Vyombo vya majini kuhakikisha wanazingatia umahiri kwa waongoza Vyombo na kuacha kuajiri waongoza Vyombo wasio na taaluma mahususi kwa kazi hiyo." Kuajiri mtu asiyekuwa na Cheri Cha umahiri kwenye uongozaji wa Vyombo vya majini ni kosa kisheria kwa mmiliki wa chombo na mwongozaji wa chombo." Alifafanua Wakili Devotha.
Sanjari na hilo amewataka wamili na watumia Vyombo vya majini kutoa taarifa za Changamoto za majini kwa TASAC ili zipatiwe ufunbuzi kwa wakati.
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Sebastian Gaganiga ametoa pongezi kwa shirika hilo na kuahidi kutoa ushirikiano wa kiutendaji ili kuleta ufanisi na kupata matokea chanya kiuhuduma na kiuchumi.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa