• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WALIOPISHA UWEKEZAJI RUFIJI WALIPWA FIDIA ZA0

Posted on: July 8th, 2022


Wananchi wa vijiji viwili nyandakatundu na utunge Rufiji Mkoani Pwani waliokubali kupisha uwekezaji wa kiwanda cha sukari kinachotarajiwa kukamilika kwake kuzalisha tani lakimoja kwa mwaka katika kukabiliana na uhaba wa upatikanaji wa sukari nchini wamelipwa fidia zao zaidi ya shilingi milioni 100 zilizotolewa na mwekezaji.

Wakizungumza katika zoezi la ulipwaji wa fidia hizo baada ya wananchi kukubali kupisha uwekezaji huo katika maeneo waliyokuwa wakishughulika na kilimo na makazi wamesema “ tumejiandaa kuungana na wenzetu kufanya kazi pamoja na tutaunga mkono uwekezaji huu.” Alisema halfani habib mkazi wa rufiji..

Naye Mwenyekiti wa kitongoji cha Nyanda katundu ametoa shukrani kwa Serikali kuhamasisha uwekezaji na kuwa uwekezaji huo utatoa fursa kwa wakazi wa Rufiji hasusani katika Nyanja za ajira na uboreshaji kwa baadhi ya huduma za jamii hata hivyo ameongeza kuwa zoezi hilo la upokeaji wa fidia lmefuata njia zote za kisheria na kukubaliwa na Wananchi.

Meneja wa mradi uwekezaji kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari Lake Agro Co. ltd Nassor Abuubakari amezungumzia uwekezaji huo na utekelezaji wa malipo ya fidia ya wananchi waliopisha uwekezaji huo amesema “ kwanza tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji, tayari shughuli za uwekezaji zimesha anza kwa kujenga miundombinu ambapo uzalishaji huu unategemea kutoa ajira kwa watu takribani elfu kumi; Malipo yamefanywa kwa mujibu wa sharia kupitia wataalamu wa aridhi ambapo takribani milioni 100 zimetolewa kama fidia kwa Wananchi.”

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowelle amesema eneo lililochukuliwa ni hekta elfu15 baada ya kufanyiwa uthamini na wataalamu wa ardhi na wananchi kulipwa fidia zao, “Namshukuru Mhe. Rais kwa kazi kubwa anayoifanya ya kutuletea wawekezaji ndani nan je ya Nchi, leo tunashuhudia wawekezaji wakitoa fidia kwa Wananchi kwaajili ya uwekezaji wa Kiwanda cha Sukari pamoja na mashamba ya miwa. Jumla eneo ambalo limechukuliwa ni hekta elfu 15. Uwekezaji huu utatoa ajira za kutosha na kuongeza mapato kwa Serikali na uboreshaji wa huduma za Kijamii.”

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa