• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WALIMU WA KEMIA NA BAIOLOJIA RUFIJI WAJENGEWA UWEZO

Posted on: March 5th, 2022


Walimu wa masomo ya Kemia na Biolojia wamepatiwa mafunzo juu ya uandaaji wa masomo hayo kwa vitendo ili kuwawezesha Wanafunzi kupata majibu sahihi.
Mafunzo hayo ya siku mbili yametolewa Machi 04 - 05 ,2022 katika Maabara za Sayansi Shule ya Sekondari Ikwiriri .
Awali akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Afisa Elimu Sekondari Bi. Zainab Abdallah amesema mafunzo hayo ni muendelezo wa utaratibu wa Mafunzo kazini kwa Watumishi walimu wa idara hiyo ili kuongeza ufanisi katika uwezeshaji unaoendana na mabadiliko ya Sanyansi na Tekinolojia unaowawezesha walimu kuhakikisha lengo mahususi pamoja na malengo ya jumla ya kimtaala yanafikiwa.
" Halmashauri kupitia idara ya Elimu Sekondari inaendelea kutekeleza mpango wake wa kuhakikisha walimu wanawawezesha Wanafunzi kufikia malengo kwa kupata elimu bora. Hvyo Tumeshirikiana na Wenzetu wa Kibaha ambao ni Waratibu wa Mafunzo Mkoa wa Pwani kwa masomo haya. Hivyo hii ni Kama INSERT." alisema Bi. Zainab
Akizungumza wakati wa kufunga Mafunzo hayo Afisa Elimu Taaluma Florian Bwikizo amewataka Walimu hao kuhakikisha wanatumia maarifa mapya waliyoyapata ili kutimiza lengo la Serikali la kuhakikisha kila Mtoto anapatiwa Elimu iliyokuwa bora." Ni matumaini yangu kuwa kupitia Mafunzo hayo zile Changamoto tulizokuwa tunakutananazo wakati wa uandaaji zimepata ufumbizi. Twendeni tukatekeleze hayo kwa uadilifu." Alisema.
Mariam Mjanakheri Mwalimu wa Taaluma na Mwalimu wa SoMo la Baiolojia shule ya Sekondari Utete ameishukuru Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kwa kutekeleza utoaji wa Mafunzo Kazini kwa walimu kwani hiyo imekuwa ikiwaajengea umahiri Mkubwa na kuleta ufanisi katika Utekelezaji wa Mtaala.
Mafunzo hayo yameongozwa na Mwl. Josia Mwakitalima - ( Chemistry) toka Kibaha pamoja na Mwl. Mohamed Amir ( Biolojia) toka Kibaha ambao pia ni Wakufunzi wa Mkoa wa Pwani kwa masomo hayo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA RUFIJI WAANZA MAFUNZO RASMI

    August 04, 2025
  • PINDA AZINDUA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI MKOANI MOROGORO

    August 02, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa