• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAFUGAJI WALIOVAMIA MASHAMBA YA WAKULIMA WAHAMISHWA

Posted on: September 4th, 2020


Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh. Patrick K Sawala amewafuta machozi wananchi wa Kata ya Ngorongo ambao walikuwa na kilio cha muda mrefu juu ya Wafugaji kulisha Mifugo na kujenga kambi kwenye mashamba ya Wakulima, kutishiwa amani na wafugaji, Viongozi kuweka pesa mbele katika kutoa huduma kwa wananchi, kuuzwa kwa pori linalodaiwa kuwa ni hifadhi ya Msitu wa Kijiji, na kupigwa kwa wananchi wakati wa kudai haki zao.
Akijibu kero za wananchi hao wanyonge Mh. Sawala amaesema " Wanyonge kuonewa kwenye Wilaya yangu Sasa basi!. Hilo haliwezekani." Kufuatia malalamiko hayo Mh. Sawala aliagiza viongozi wasome mpango wa matumizi bora ya aridhi mbele ya Wananchi na kugundua kuwa eneo la kindungulu wanalokaa wafugaji sio eneo lililotengwa kwa ufugaji katika mpango na baadhi ya wafugaji waliopo kwenye eneo lililotengwa hawana vibali na wamezidi idadi inayotakiwa. Kutokana na tatizo ambalo kwa sasa limeleta shida ya njaa kwa wananchi Mh. Sawala ameamuru wafugaji hao kuhama ndani ya siku tatu na kuwatahadharisha viongozi kama walichukua fedha na kuwapangia maeneo wafugaji  kiholela bila kufata taratibu basi kiongozi aliyechukua fedha hizo arudishe kwa Mfugaji na amuondoe . Pia Mkuu wa Wilaya ameagiza TAKUKURU kufanya Uchunguzi juu ya malamiko ya Wananchi kwa viongozi wanaohusishwa na vitendo vya Rushwa.

Aidha ameagiza na kutoa wiki moja kwa Afisa ardhi paamoja na baraza la ardhi kutembelea eneo la msitu wa hifadhi linalodaiwa kuwa limeuzwa ili kujiridhisha na kumpelekea taarifa ya kina juu ya ukweli wa eneo hilo.

Akifunga mkutano huo Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi hao kuwa watuivu, na amewataka wafugaji kuvumilia kwa muda kwenda kwenye maeneo wanayotakiwa kuwa mpaka pale mpango wa matumizi bora ya aridhi utakapofanywa upya. Kufuatia maelekezo hayo amewasisitiza viongozi wa kijiji kuhamasisha wananchi hasa wafugaji kushiriki kikamilifu katika mchakato wa mpango huo ili nao wapatiwe maeneo yatakayowawezesha kufuga vizuri. Pia ametoa Uinzi kwa  (Mfugaji) aliyetoa taarifa juu ya viongozi kuwaomba fedha wafugaji wakati wananapotatua migogoro ya wafugaji na wakulima swala ambalo limekuwa halimalizi migogoro badala yake limekuwa likizidisha migogoro.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa