• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAFUGAJI WALIOKAIDI AMRI WASAKWA MASHAMBANI

Posted on: September 12th, 2020


 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh. Luteni Kanali Patrick Sawala, Katibu Tawala Bi. Maria Katemana,Mkurugenzi Mtendaji pamoja na kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, Wajumbe, Mwenyekiti wa Kijiji cha Kilimani, Viongozi wa Wakulima na viongozi wa  Wafugaji wa kijiji cha Kilimani, Kaimu Afisa Aridhi, Afisa Mifugo, Afisa Kilimo Wilaya na kijiji pamoja na Afisa Tarafa kwa pamoja wamefanya Msako wa Wafugaji ambao wamekaidi kutii agizo la Mkuu wa Wilaya  la kuhama katika maeneo ya Mashamba ya Wakulima na kuhamia maeneo waliyopangiwa. Aidha wafugaji hao wametakiwa kwenda katika eneo la kichangachui huku wakisubiri eneo watakalopangiwa siku ya jumatatu tar.14/09/2020. Makambi yote yaliyokuwa mashambani yameteketezwa .

 Akizungumza na Timu hiyo mara baada ya Msako Mkuu wa Wilaya ameagiza Viongozi kusimamia makubaliano ili kuondoa migorogoro hiyo. amesisitiza kuwa wafugaji waliokuwa wanadhani anatania wajue kuwa wakirudi kinyemelea hatawaonea huruma badala yake atawafukuza moja kwa moja.

 Akizungumza katika msako huo ndg. Rangi Mkanda Mwenyekiti wa Wafugaji amewasisitiza wafugaji wote kutii amri ya serikali na kusubiri kupangiwa eneo ili kumaliza kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji." Naomba niwaambie wafugaji wenzangu tutii amri kwani tumekosea wenyewe kujenga makambi kwenye mashamba ya wakulima na kuwazuia wasifanye shughuli zao wakati wamewekeza mazao hasa mikorosho yao. Mimi nimegundua nia njema ya Serikali kwani haijatufukuza bali imetutengea eneo ambalo kwetu litatusaidia pia wakati tunasubiri eneo la kudumu. Jana usiku nimehamisha makambi yangu nawaomba na wenzangu mliohamisha msirudi tena mashambani".

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa