• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WAFANYA BIASHARA UTETE WATOA SH. 1,050,000/= KUCHANGIA ZOEZI LA MADAWATI

Posted on: September 11th, 2020

Wafanyabiashara wa Utete wamekabidhi fedha kiasi cha shilingi  milioni moja na elfu hamsini leo  tar 11/9/2020 majira ya saa kumi na nusu jioni katika ukumbi mdogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji. Akizungumza baada ya kukabidhi fedha hizo kwa niaba ya Wafanya biashara Ndg. Jamal Rwambo amesema wamefanya hivyo kutokana na kuguswa na jitihada za Serikali pamoja na jitihada binafsi za Mkuu wa Wilaya pamoja na Mkurugenzi ambazo kwa muda mfupi zimeleta mabadiliko makubwa. Aliongeza kuwa wafanyabiashara wapo tayari kumfichua mtu yeyote atakayekuwa anarudisha maendeleo ya Rufiji nyuma ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kuijenga Rufiji mpya.Akizungumza katika Mkutano huo wa makabidhiano Mkurugenzi Mtendaji Ndg, Rashid Salum ameahidi kufanyia kazi Mambo yote yaliyochini yake ambayo yameombwa na wafanyabiashara hao.Pia Katibu Tawala Bi. Maria Katemana amewashauri Wafanyabiashara hao kutumia fursa zilizopo hasa kujenga kumbi kubwa , hoteli zenye hadhi, na Mapambo yanayoweza kutumika kwa Matukio makubwa kwani mpaka Sasa huduma hizo zinapatikana zaidi Dar es salaam. Akifunga Mkutano huo, Mkuu wa Wilaya Mh. Sawala amekabidhi Fedha kwa Mkurugenzi na kumsisitiza kuwa ndani ya siku kumi madawati takribani 20 yawe yametengenezwa na yakabidhiwe kwa Shule za Msingi au Sekondari za Utete kulingana na Mahitaji. Amesisitiza kuwa siku ya kukabidhi ni Muhimu Wafanyabiashara hao washiriki kukabidhi ili waone kazi ya Mchango wao.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa