• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

WABADHILIFU WA DAWA HOSPITALINI WAKAMATWA

Posted on: October 21st, 2021

Mkuu  wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele, leo Oktoba 21.2021 amepokea Dawa zenye thamani ya shilingi Milioni tano zilizokuwa zimeibwa na baadhi ya Viongozi  wa Kituo Cha Afya Ikwiriri kwa kushirikiana na Mzabuni Ian pharmacy Limited ambaye alikuwa akitoa huduma hiyo

" Baada ya kupokea malalamiko mengi ya ukosefu wa dawa katika Vituo vyetu vya kutolea huduma za Afya kupitia Makamanda wetu wa TAKUKURU walianza kufanyia kazi tatizo na kubaini ubadhilifu Mkubwa unaofanywa na Wataalamu wetu wasio waaminifu". Alisema


Aidha ametoa onyo kwa Watumishi wenye tabia hizo na kuwataka kubadilika na kuendana na kasi ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan ambayo imejikita katika haki na uwajibikaji kwa Wananchi wake huku akiwataka Wananchi kushirikiana na Serikali kutoa taarifa muda wowote ili kuendelea kukomesha Mambo yanayorudisha nyuma juhudi za Serikali kuleta maendeleo kwa Wananchi wake.

"  tuwaombe Wananchi mtusaidie kutoa taarifa na sisi tutazifanyia kazi." Alisema Gowele.
Kwa upande wake Mzabuni Ian Pharmacy Limited ambaye amerudisha dawa hizo amekiri kuwepo kwa Vitendo hivyo na kuwa alikuwa akielekezwa kutopeleka dawa hizo na Walipaji kwa zaidi yavsiku Saba Jambo ambalo ni kinyume Cha taratibu.

" Baada ya kulipwa niliambiwa nisubiri kwanza. Kumbe ndo kulikuwa Kuna nchezo nyuma yake. Hadi kufikia watu wa TAKUKURU kubaini Mchezo huo. Kwa kawaida dawa hutakiwa kulekwa kituoni ndani ya siku tano baada ya malipo lakini ilikuwa unazidi zaidi ya siku hizo" Alisema mzabuni huyo.


Naye Moshi Saidi Ngalunda mkazi wa Ikwiriri Wilayani humo ameishukuru Serikali kwa juhudi za kushughulikia Changamoto za Wananchi.

" Tunaona juhudi zilizotolewa na Serikali kupitia TAKUKURU na kubaini mzigo huu. Kwakweli Mimi ni mgonjwa wa kuanguka lakini kwa Sasa ninapata dawa kila ninapokuja hospitalini." Alisema.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa