• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

VIKUNDI 39 VYAPATIWA MKOPO, WATU 210 WANUFAIKA

Posted on: November 19th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Simon Berege amesema halmashauri imetoa mikopo kwa Vikundi 39 huku akiwaomba Vijana kuifanyika kazi mikopo hiyo kama walivyojiwekea malengo ili iweze kuzalisha na kujikwamua kiuchumi pamoja na kuirudisha ili isaidie kwa Vikundi vingine vitakavyoomba katika msimu mwingine.

"tumetoa mikopo kwa Vikundi 39, vyenye jumla ya Watu 210 walionufaika. ninawaomba sana, tusile mbegu. Unapopewa fedha ya mikopo au fedha ya mtaji lengo ikaongezeke iweze kukua"alisisitiza Berege.

Berege alitoa kauli hiyo kwenye hafla ya utoaji mikopo ya Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu, iliyofanyika Jana Novemba 19, 2024 katika Ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Rufiji.

Kwa upande wake, Mkuu wa Divisheni ya maendeleo ya jamii ya Wilaya ya Rufiji Patricia Sao, aibainisha vigezo vya utoaji na kulingana na mwongoo wa kanuni za utoaji na  usimamizi wa mkopo ya Vijana, Wanawake, na Watu wenye Ulemavu za mwaka 2024.

"kushiriki katika mikutano ya uhamasishaji katika Vijiji ili kuondoa utoaji wa mkopo kwa Watu wasiotambulika katika maeneo yao, Kikundi kuwa na mradiunaotambulika au unaoombewa mkopo, kuwa na cheti za usahiki kutoka mfumo wa uwezeshwaji (wezesha portal), kuwa na akaunti benki na Kikundi kuwa na Wanachama wasiopungu watano kwa Wanawake na Vijana na wawili kwa Watu wenye Ulemavu au mmoja baada ya kuthibitika kukosa Mtu wa kushirikiana nae, Kikundi kupata mafunzo, Vijana kuwa umri wa miaka 18 hadi 45" alibainisha sifa za Vikundi vilivyokidhi vigezo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa