• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TAWA, FRANKFURT WAJENGA DARASA NA OFISI YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MWASENI

Posted on: December 1st, 2025

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la uhifadhi (Frankfurt Zoological Society) wamejenga Chumba kimoja Cha Darasa, ofisi ya Walimu pamoja na ununuzi wa viti na meza 45 Katika Shule ya Sekondari Mwaseni Kata ya Mwaseni Wilayani Rufiji ambapo Jumla imegharimu kiasi cha Shilingi milioni 60 ili kuendelea kuboresha Sekta ya elimu kwa ajili ya  Walimu na Wanafunzi.

Majengo hayo yamezinduliwa jana Disemba 1, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba katika Shule ya Sekondari Mwaseni.

Akizungumza baada ya kukagua na kuzindua Darasa na Ofisi hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba aliwashukuru na kuwapongeza TAWA pamoja na Frankfurt kwa kuonesha jinsi uhifadhi unavyoleta tija katika jamii, hasa kwa kugusa Sekta ya elimu ambayo inahudumia Wanafunzi wengi wa Kata hiyo, huku akiwataka Wananchi kuendelea kutunza mapori ya akiba yaliyo katika maeneo wanayoishi kwa kuacha tabia ya ujangiri ili yaendelee kuleta faida katika jamii.

Kwa upande wake, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi TAWA, Abraham Jullu, amesema TAWA imerudisha faida ya uhifadhi kwa jamii inayopakana na pori la akiba, ambapo kwa kata ya Mwaseni wameona ni vizuri kugusa Sekta ya elimu ambayo itatoa huduma kwa jamii na maeneo wanayoishi kwa kuacha tabia ya ujangiri ili yaendelee kuleta faida katika jamii.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA BWENI SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA

    December 02, 2025
  • WAFUGAJI RUFIJI WAPEWA WIKI MBILI KUPELEKA MIFUGO KWENYE LANCHI

    December 01, 2025
  • TAWA, FRANKFURT WAJENGA DARASA NA OFISI YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MWASENI

    December 01, 2025
  • MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WAPATIWA MAFUNZO RASMI

    October 25, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa