• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

VIJIJI 33 KATI YA 38 VYAFIKIWA NA MAJI RUFIJI

Posted on: July 26th, 2024

Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Rufiji (RUWASA) Eng. Alkam Sabuni, amesema hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Wilayani Rufiji hadi kufikia juni 2025 utakuwa umefikia asilima 94, huku akibainisha kuwa mpaka sasa Vijiji 33 kati ya Vijiji 38 tayari vimefikiwa na huduma  ya maji kupitia skimu 17 za maji na kufikia asilimia 86 ya utoaji wa huduma Kwa Wananchi katika mwaka wa fedha 2023/2024.


Eng. Sabuni aliyabainisha hayo kwenye Mkutano wa mwaka wa Wadau wa Sekta ya Maji Wilayani Rufiji, kilichofanyika Ijumaa Julai 26, 2024 katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi FDC-Ikwiriri, chenye lengo la kujadili hali ya huduma ya maji na uendeshaji wa miradi ya maji Vijijini.

Alisema katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 Serikali ilitenga shilingi bilioni 2.3 kwa ajili ya kuendelea kuimarisha upatikanaji wa maji Wilayani Rufiji hadi kufikia Juni 2024 asilimia 86 ya Wakazi wa Rufiji wanapata huduma ya maji safi na salama.

"hadi kufikia Juni 2024 asilimia 86 ya Wakazi wa Rufiji wanapata huduma ya maji safi na salama, ambapo jumla ya Vijiji 33 kati ya Vijiji 38 vinapata huduma ya maji kupitia Skimu 17 za maji, na Vijiji 5 havina skimu ya Maji, hivyo kupata huduma kutoka katika visima vya Watu binafsi na Taasisi" alisema Sabuni wakati akisoma taarifa ya huduma ya maji Wilaya ya Rufiji katika Mkutano huo.


Aliongeza kuwa kwa mwaka wa fedha wa  2024/2025 RUWASA Wilaya ya Rufiji imetengewa shilingi bilioni 2.178 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji inayoendelea na iliyokwama kwa muda mrefu, ukiwemo ujenzi na ukarabati wa mradi wa maji Nyamwage na Kijiji cha Mloka.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Afisa Tarafa ya Mkongo Vedastus Luseko, alisisitiza viongozi pamoja na Wananchi kuwa mabalozi wazuri wa kitunza na kuilinda miradi ya maji inayotekelezwa na serikali ambayo imetoa fedha nyingi kwa ajili ya kuwahudumia Wananchi.

"tuendelee kuwa mabalozi wa kuhakikisha miradi hii tunaitunza na kuilinda" alisema Luseko.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa halmashauri wa Wilaya ya Rufiji Mhe.  Abdul Chobo aliwataka viongozi na Wananchi kuitunza miradi ya maji inayotekelezwa katika maeneo yao.

"Rais wetu analeta fedha nyingi za miradi na miradi inajengwa, kwahiyo Waheshimiwa Madiwani wenyeviti wa Vijiji, Watendaji wa Kata tunalo jukumu la kuhakikisha kwamba tunatunza hii mbiundombinu na inatumika vizuri na matumizi ambayo ni endelevu ili kuhakikisha juhudu za Mhe. Rais na Mbunge ya kutaka Wananchi wapate huduma inafanikiwa" alisema Mhe. Chobo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa