• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TUMESHUHUDIA MATUNDA MAKUBWA RUFIJI KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA

Posted on: March 19th, 2022

Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Pwani Farida Salumu Mgomi amepongeza juhudi za Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi kwa Wilaya ya Rufiji  kwaajili ya miradi ya Maendelelo yenye thamani ya shilingi Bilioni 10. na Milioni 100 kwa kipindi cha Mwaka Mmoja tangu kuingia madarakaniMgomi ameyasema hayo  Machi 19. 2022 baada ya ziara yake pamoja na Kamati ya Siasa chama cha Mapinduzi na Wakuu wa Idara Wilayani Rufiji  kukagua utekelezaji wa Miradi ya maendeleo na utekelezaji wa ilani ya chama hicho .“ Utekelezaji huu ni wa kiwango cha kimataifa. Fedha zilizoletwa kupitia mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa zimetendewa haki lakini pia fedha za mapato ya ndani zimetendewa haki.” Alisema.Ameongeza kuwa Mafanikio makubwa yalifikiwa na Serikali pamoja na chama cha mapinduzi kwa ujumla kwa Wilaya ya Rufiji yanadhihirisha kuwa ni matunda ya ushirikiano, kufanya kazi kwa kutembelea miradi pamoja bidii ya kazi. “Mafanikio haya  tunayoyaona ni matokeo ya field work, hard work na team work . Matumda yake huwa ni hayaraka kama tulivyojionea utekelezaji wa miradi kwa wakati, namna ambavyo wananchi wameweza kuhirikishwa pamoja na chama kwa ujumla.” Alisema.Awali akitoa taarifa fupi ya Utekelezaji wa Miradi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amesema katika kipindi cha Mwaka mmoja Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imeweza kutekeleza miradi 156 ambapo miradio 102 tayari imekamilaka na kubaki miradi 54  ikiwa katika hatua mbalimbali za utekelezaji.Kwa upande wao wananchi wa Wilaya ya Rufiji wakizungumza katika maeneo tofaiti tofauti wameishukuiru na kuipongeza Serikali kwa kuwajengenea miundombinu ya kisasa na kuwatoa katika mazingira magumu ya watoto wao kusoma kwenye marasa ya miti.
“

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa