• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TUKAFANYE KAZI YA KUHAMASISHA SENSA KWA UZALENDO MKUBWA KAMA ANAOTUONYESHA MH. RAIS

Posted on: June 20th, 2022



Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amewataka Wajumbe wa  Kamati za Sensa ya Watu na Makazi 2022 ngazi ya Kata na Vitongoji kuhakikisha Wanafanya uhamasishaji nyumba kwa nyumba huku wakiweka mbele maslahi ya Taifa na Wananchi wa Maeneo yao ili kuwezesha Serikali  kupata takwimu sahihi ifikapo agosti 23.2022


Meja Gowele ameyasema hayo wakati wa kikao maalumu cha kuwajengea uwezo wa uendeshaji wa zoezi zima la sensa ya watu na makazi  wajumbe wa kamati za Sensa Kata ya Chemchem na Utete pamoja na Vitongoji vyake kilichofanyika katika shule ya sekondari Utete juni 20.2022 ikiwa ni hitimisho la kufanya zoezi hilo kwa kata zote 13 pamoja na vjiji 38 na vitongoji vyake vyote.


" tusikubali mtu aturudishe nyuma kwenye zoezi hili, Rufiji ni yetu wenyewe." alisisitiza Gowele.


Katika hatua hiyohiyo meja Gowele ametumia kikao hicho kukemea vikali baadhi ya Vijana wa Rufiji kujihusisha na vitendo vya kusaidia uingizaji wa mifugo bila kufuata sheria na uharibifu wa mazao unaosababishwa na mifugo na kusema kuwa hatamfumbia macho yeyote atakayehusika bila kujali nafasi aliyonayo


Kwa pande wake Mratibu wa Sensa Faustine Selestine ametoa msisitizo kwa wajumbe hao kuelimisha wananchi kuhakikisha wanakuwa na taarifa sahihi juu ya watu watakaolala kwenye kaya zao usiku wa kuamkia tarehe 23 agosti na kuongeza kuwa hakuna mtu atakayeachwa kuhesabiwa kwani zoezi la sensa ya watu na makazi linatekelezwa kwa mujibu wa sheria ya takwimu sura namba 351.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa