• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

‘tuchangamkieni fursa ya kusoma elimu ya watu Wazima’ Mganga Mkuu Rufiji.

Posted on: November 8th, 2023


Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Hamis Abdallah ameitaka jamii kuchangamkia fursa ya kusoma elimu ya Watu wazima, ngazi ya shule za msingi, Sekondari na Ufundi kwasababu inasaidia kupata fani mbalimbali na kufikia malengo yao, ikiwemo kujiajiri na kuboresha maisha yao.

Ameyazungumza hayo jana Novemba 8, 2023 kwenye Maadhimisho ya Elimu ya Watu Wazima yaliyofanyika Ikwiriri, yenye kauli mbiu ‘Kukuza Uwezo wa Kusoma na Kuandika Kwa Ulimwengu Unaobadilika, Kujenga Misingi ya Jamii Endelevu na Yenye Amani’ ambapo ameitaka jamii kujiunga na elimu hiyo (ambayo haipo kwenye mfumo rasmi) baada ya kukosa nafasi ya kuchaguliwa kuendelea na elimu yenye mfumo rasmi.

“tutoe kipau mbele kwa Vijana wetu, kwenye hizi elimu ambazo hazipo kwenye mfumo rasmi, zitasaidia kufikia ndoto zao, wasibeze hizi elimu zinazotolewa za Watu  Wazima.

Moja ya Faida ya Elimu ya Watu Wazima inaondoa ujinga kwa maana Watu wanajua kusoma na kuandika na kuhesabu, Pia itawasaidia kupata ujuzi na kujitengenezea ajira, kwa mfano nimeona hapa maonesho ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii FDC kuna ujuzi wa kushona nguo. pia inamsaidia Mtu kujitoa kwenye hali duni ya maisha kwani anapata fani mbalimbali” amesema Abdallah ambaye ndiye alikuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.

Katika hatua nyingine, akielezea moja ya Programu ya elimu ya Watu Wazima inayotekelezwa Wilayani Rufiji, Afisa Elimu ya Watu Wazima Sekondari, Leonard Selegenyi amesema Halmashauri inatekeleza program mbalimbali ikiwemo Mpango wa Elimu kwa Walioikosa (MEMKWA).

“mpango huu unahusisha Wanafunzi kuanzia miaka 9 hadi 18 wanaosoma elimu ya awali na msingi kwa miaka miwili, alafu wanafanya mtihani wa darasa la nne na baadae wanaendelea na darasa la tano, la sita na wanafanya mtihani wa darasa la saba, na kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza” ameelezea selegenyi na kavitaja Vituo vinavyotoa Elimu hiyo.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa