• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TUALIKE WAWEKEZAJI

Posted on: April 29th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Lt.Col Patrick Sawala ametoa msisitizo juu ya swala la uwekezaji kwa kuwaalika wawekezaji na kuwajengea mazingira rafiki ikiwemo kujibiwa maombi kwa wakati na kuhakikisha wanapata hati miliki kwa wakati.

Ameyasema hayo Aprili 29 akitoa maelekezo ya Serikali wakati wa Baraza la Madiwani katika Ukumbi wa Halmashauri Wilayani Rufiji."Ninataka Mambo haya yaende haraka" Alisema.Aidha amewataka Watumishi wa aridhi kuhakikisha wanaondoa urasimu, kuwepo ofisini muda wa kazi na kuondoka kazini kwa kufuata Utaratibu kwa mujibu wa taratibu za kazi.

Pia amelitaka Baraza hilo kujadili na kutenga eneo maalum la uwekezaji kwa Wilaya ya Rufiji.Amesisitiza kuwaelimisha wafanyabiashara kulipa Kodi,  kuongeza makusanyo.Sambamba na maelekezo hayo, ametoa salamu za pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na Wilaya ya Rufiji, kwa kupata hati safi huku akilitaka Baraza hilo kuendelea kusimamia Vizuri ili kuendelea kupata hati safi Kama ilivyokuwa kwa Miaka ya nyuma mfululizo.Ameelekeza kuwepo na taratibu za utengenezaji wa madawati yasiopungua 100 kila mwezi na ujenzi wa karakana ya Wilaya ili kazi hizo zifanyike katika eneo moja.Kufuatia migogoro ya Wakulima na Wafugaji amewataka Viongozi kujitathmini na kushiriki kutatua migogoro hiyo pamoja badala ya kumuachia Mkuu wa Wilaya peke yake. 

Hata hivyo amesema kamwe hata kata tamaa kutatua migogoro hiyo." Nimekuja kushirikiana na Wanarufiji kufanya kazi. Sita kata tamaa. Wanarufiji hawataki story, wanataka kuona mabadiliko ya maendeleo". AlisemaAmesisitiza kuziwezesha kamati za usuluishi za Kata ili kuwa na uelewa wa kutosha juu ya usuluishi wa migogoro ya Wakulima na Wafugaji.Kwa upande wa utekelezaji wa Miradi ya maendeleo Sawala amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa mradi wa shule ya Msingi Utete pamoja na Ofisi ya Mkurugenzi huku akiitaka kamati husika kusimamia kikamilifu swala hilo.

Kwa upande wa Miundombinu ya Barabara za Ngarambe na Mbwara amesema tayari Wilaya imeshaandikia barua uongozi wa TARURA MKOA ili barabara hizo zishughulikiwe Kama dharula.Pia ameeleza kuwa bajeti ya daraja la mbambe imeshatoka.Akifunga hotuba yake, Mhe. Sawala amewakaribisha Watumishi wapya akiwemo Afisa Utumishi Wilaya, Mhandisi wa Wilaya, Mkuu wa kitengo Cha Manunuzi, Mganga Mkuu wa Wilaya pamoja na Afisa aridhi na kumtaka Afisa utumishi mpya kutenga utamaduni wa kutembelea Watumishi ili kushughulikia na kutatua kero zao kwa Urahisi na kwa Wakati.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa