• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

SOKO LA UTETE KUWEKWA CHINI YA MAMLAKA MJI MDOGO

Posted on: February 16th, 2021


Baraza la Mamlaka ya Mji Mdogo Utete limetoa maamuzi ya kuliweka Soko lililopo katika Kata ya Utete chini ya Mamlaka ya Mji Mdogo ili kuboresha hadhi ya Soko hilo na kuhakikisha manufaa ya Soko hilo yanaenda kwa Wananchi Wote waliopo chini ya Mamlaka.

Maamuzi hayo yamefanyika katika Mkutano wa  Baraza la robo ya pili kilichofanyika tarehe 16/02/2021 , ambapo suala la kurudisha soko chini ya mamlaka ya Mji Mdogo lilikuwa moja ya ajenda katika kikao hicho.

Akizungumza baada ya Maamuzi hayo  Mwenyekiti wa Malaka ya Mji Mdogo Mtengashari Ally Mtolia amesema Soko hilo la Umma linatakiwa kuwachini ya Mamlaka ili manufaa yake yasiwe kwa Watu wachache. Soko hilo limekuwa likitumia fedha za Serikali kurekebishwa na kutoa huduma mbalimbali lakini mapato yake yalikuwa chini ya watu wachache na sio Serikali ambayo ndiyo inayotoa huduma kwa Umma. “ sio kweli njambo la umma liwe na manufaa kwa watu wachache ndio maana tumemua soko hili liwe chini ya malaka ya Mji Mdogo na lijengwe katika hadhi ya soko.” Alisema.

Baraza limepokea taarifa mbalimbali ikiwemo kukithiri kwa Tembo mashambani na kwa baadhi ya makazi ya Watu ambapo ilitolewa taarifa kuwa, tayari Mkurugenzi Mtendaji ameshatoa maelekezo ya kuwapelekea maafisa Wanyama pori katika Vijiji hivyo ili kutoa msaada wa kudumu, Kuanza kwa kurtolewa kwa huduma za chanjo huku maeneo ya nyawanje, namakono na mengine yakliyokuwa yakipata changamoto ya umbali kupewa kipaumbele katika utolewaji wa huduma hizo.

Sambamba na hilo, Baraza limepokea taarifa toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri kupitia   Mratibu wa TASAF  Wilaya Lamudi Ngaruburwa juu ya  kuanza kwa malipo ya Walengwa kaya masikini kupitia mradi wa TASAF ambao unatarajiwa kuanza tarehe 18/02/2021 ambayo yatafanyika kwa Vitongoji vitano.” Tarehe 18/02/2021 malipo yatafanyika kwa vitongoji vitano (05) vilivyomo kwenye mpango na tarehe 19/02/2021 malipo hayo yatamalizika Kitaifa. Baadaye tutaanza zoezi la kutambua kaya mpya kwa Vitongoji ambavyo havikuingizwa awali. Kwa kaya zilizo  achwa mwanzo nazo zitaingizwa upya kupitia utaratibu maalum “  Alisema.

Ameongeza kuwa wale wote ambao hawakuhakikiwa katika zoezi la uhakiki lililopita wajitokeze tarehe 18/02/2021 ili wahakikiwe.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa