• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

Posted on: May 9th, 2025

Madiwani Wilayani Rufiji wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kwa kuibadilisha Rufiji kwa ujenzi wa miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo ukarabati wa Hospitali ya Wilaya Utete, ujenzi wa Madaraja, Shule za Msingi na Sekondari pamoja na Vituo vya Afya, huku akibainisha kuwa katika Kipindi Cha miaka minne Rais huyo ametoa zaidi ya Bilioni 150.

"... tuna Kila sababu ya kuwashukuru Watu hawa (Rais Samia na Mbunge Mchengerwa) kwasababu, katika Kipindi Cha miaka minne Rais Samia ametuletea zaidi ya Bilioni 150 kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya Maendeleo, Watu hawa wametutoa kwenye giza na kutuleta kwenye mwanga" alisema Mwenyekiti wa halmashauri ya Mji Rufiji Mhe. Abdul Chobo.

Mhe. Chobo aliyazungumza hayo kwenye kikao Cha Baraza la Madiwani Cha robo ya tatu ya Mwezi Januari- Machi ya mwaka wa fedha 2024/2025 kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri leo Mei 9, 2025.

Akitoa salamu za Serikali, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Luteni Kanali Fredrick Komba, amesema Wilaya ya Rufiji ipo salama na Kamati ya Usalama Wilayani humo itaendelea kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha Wananchi wanakuwa salama na kuendelea na majukumu yao ya kila siku.

"Kwa ujumla hali ya kiusalama ipo vizuri, Iko shwari kwasababu ya ushirikiano ambao tunapata kutoka kwa Waheshimiwa Madiwani, Chama pamoja na Wananchi kwa ujumla. Na haki ipo shwari kwasababu ya kazi kubwa inayofanywa na Kamati ya Usalama ya Wilaya" alisema DC Komba.

"niwapongeze sana Madiwani kwa kushirikiana na Serikali ya Wilaya, niwapongeze Viongozi wa Chama Wilaya wamekuwa Karibu na Serikali na tunashirikiana sana, niwapongeze Watumishi pamoja na Wananchi. Lakini nikuhakikishie Mhe. Mwenyekiti kuwa Wilaya ya Rufiji ipo salama" alisema Mhe. Komba.




Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa