• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

SERIKALI KUHAKIKI KAYA ZA WALENGWA WA TASAF ZENYE WATU WENYE ULEMAVU

Posted on: March 1st, 2022


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Sebastian Gaganija amewataka wawezeshaji ngazi ya mamlaka ya eneo la utekelezaji kuhakikisha wanafanya uhakiki wa kaya za walengwa wa TASAF ambazo zina watu wenye ulemavu katika vijiji 52 ambavyo vimepitiwa na mpango Wilayani humo na kusisitiza uwepo wa ufanisi na weledi katika utekelezaji wa jukumu hilo ili kufikia malengo yaliyokusudiwa na Serikali.
Gaganija ameyasema hayo leo februari 28.2022 wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya Uhakiki wa kaya za walengwa wa TASAF zenye watu wenye ulemavu kwa wawezeshaji ngazi ya mamlaka ya eneo la utekelezaji.
“ uhakiki huu ni muhimu sana, hivyo mnatakiwa kuhakikisha mnafuata maelekezo na kuzingatia vigezo ili zoezi hili lifanyike katika viwangi vilivyokusudiwa” alisema gaganija
Awali akisoma taarifa fupi ya zoezi hilo Mratibu wa TASAF, Pamella Birukila ameeleza kuwa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) unaendelea na utekelezaji wa kipindi cha pili cha awamu ya tatu ambapo kupitia mpago huo Serikali imeamua kutoa ruzuku maalumu kwa kaya zinazonufaika zenye watu wenye ulemavu.
“ Lengo la ruzuku hii ni kuongeza uwezo wa kaya katika kuwahudumia wanakaya wenye ulemavu.” Alisema.
Zoezi la uhakiki linatarajiwa  kuanza kesho tarehe 2 na kukamilika tarehe 8 Machi 2022.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa