• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

SAWALA ATETEA HAKI ZA WANYAKAZI WA KHARAF WALIOTELEKEZWA RUFIJI

Posted on: January 8th, 2021

Mkuu wa Wilaya Rufiji Luteni Kanali Patrick Sawala amemtaka meneja rasilimali watu wa Kampuni ya M.A KHARAF & SONS Bw. Benjamin kuhakikisha Wafanyakazi wa kampuni yao waliopo Rufiji ambao hawajalipwa mishahara yao tangu mwezi desemba mwaka jana kulipwa mishahara yao na kuacha kuwafanyisha kazi kwa vitisho vya kuwafukuza kazi. Pia amemtaka meneja huyo kuhakikisha anawasainisha mikataba ya kazi kama ilivyo katika mkataba wao wa ajira kutokana na kuendelea kuwafanyisha kazi bila mkataba wakati mkataba wa awali umeshaisha muda wake. “ Tutambue nafasi na mahangaiko ya watanzania wanyonge. Lipeni mishahara yao na madai yao yote. Mikataba iwe tayari ifikapo tarehe 16 januari 2021. Nipate nakala za taarifa zote za hatua zinazochukuliwa kulipa mishahara ya Wananchi wangu.” Alisema.Aidha amemtaka OCD pamoja na Afisa TAKUKURU kumshikilia Bw. Benjamin kwa mahojiano juu ya tuhuma za kutokuonekana kwa makato ya NSSF na Kodi ya malipo kulingana unachokipata malipo ambayo yanaonekana yanakatwa lakini fedha hazipelekwi sehemu husika.Sambamba na hilo, amemtaka Bw. Benjamin kurudi Rufiji tarehe 16 mwezi wa kwanza akiwa pamoja na Mratibu wa Miradi wa Kampuni hiyo ili kujua kwa kina tatizo la kutolipa mishahara wanachi hao.Kwa upaende wao Wafanyakazi wa KHARAF wamemshukuru Mkuu huyo wa Wilaya kwa kuyachukulia hatua za haraka malalamiko yao kwani walimuendea ofisini kwake tarehe mbili mwezi wa kwanza na tarehe nane ameweza kuwakutanisha na viongozi wa kampuni hiyo ambao hawakuwahi kuonana nao kwa kipindi chote cha kazi.Aidha Wanachi na Wafanyakazi hao wameiomba Serikali kusikiliza kilio chao na kuwasaidia ili waweze kujikimu wao na familia zao.Pia Wameomba ufanyike uchunguzi wa kina juu ya ukweli wa makato yao kupelekwa NSSF kwani wao wamekuwa wakizuiliwa kila wanapokuwa na hitaji la kumpelekea malalamiko yao meneja wa NSSF.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa