• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

SAUTI RUFIJI WAADHIMISHA SIKU YA MUUNGANO KWA KUPANDA MITI

Posted on: April 26th, 2025

Chama Cha Skauti Tanzania Wilayani Rufiji Mkoani kwa Kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Wilayani Rufiji (TFS), wameadhimisha siku ya Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kupanda miti 2,600 ya matunda na kivuli ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kutunza Mazingira.

Zoezi la upandaji Miti ilibebwa na kaulimbiu isemayo 'RURIJI YA KIJANI NA SKAUTI WA SAMIA' ilifanyika jana Aprili 26, 2025 kwa kupanda Miti katika Shule za Sekondary na Taasisi za Serikali.

Akizungumza wakati wa zoezi hilo Kamishna wa Skauti Wilaya ya Rufiji Latifa Lukwaro, amesema kampeni hiyo ni kuunga mkono maelekezo ya Kitaifa sambamba na maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya Rufiji ambaye pia ni Mlezi wa chama Cha Skauti Wilayani humo ya kupanda miti Kila Kata.

"Tumepanda miti 2600, ya matunda 1600 (mipera), ya kivuli 1000 (mgunga), Utete Miti 1055. Lengo lilikuwa kupanda miti 3500/3000 kwa kila tarafa.

"leo tumepanda a shule Saba za maoni na sekondari, Ikulu ndogo (Rest house), Ofisi ya TAKUKURU, Mahakamani, Katika Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi FDC, Shule ya Sekondary Chumbi, Shule ya Sekondary Nyamwage na Shule ya Sekondary Mohoro" alieleza.

Siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huadhimishwa Aprili 26 ya Kila mwaka.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa