• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

RUFIJI TUNA KILA SABABU YA KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGUE MCHENGERWA -MHE. CHOBO

Posted on: October 30th, 2024

Baraza la Madiwani Wilayani Rufiji limetoa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohammed Mchengerwa, kwa namna ambavyo Serikali ya awamu ya sita inavyoibadilisha Wilaya ya Rufiji Katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage kwa kiwango cha lami, ukarabati wa majengo ya hospitali ya Wilaya, ujenzi wa Vituo vya Afya na Zahanati, pamoja na ujenzi wa madaraja katika maeneo korofi hasa wakati wa masika.

"sisi Baraza la Madiwani tunapaswa kuwashukuru sana Watu hawa (Rais Samia na Mbunge Mchengerwa), Rufiji ilikuwa gizani, Rufiji ilikuwa haifikiki kutokana na  Miundombinu ya barabara, lakini Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge wetu Mohamed Mchengerwa wametutoa katika shimo na kutuleta Katika mwanga wa Dunia" sehemu ya maneno ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mhe. Abdul Chobo huku akigongewa Meza na Baraza la Madiwani.

Mhe. Chobo aliyazungumza hayo katika kikao cha Baraza la Madiwani  cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2024/2025 cha mwezi Julai-Septemba, kilichofanyika katika Ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Rufiji leo Oktoba 30, 2024.

"Rais Samia anatuletea mabilioni ya fedha katika kuboresha barabara zetu, anatuletea mabilioni ya fedha kwa ajili ya maji safi na salama ili tunusurike na kipindupindu. Rufiji tulikuwa tunashuhudia Watu wakipoteza maisha kwa kukosa huduma za Afya, lakini leo Vituo vya Afya vipo karibu yetu. Haya yote ni mapenzi ya Viongozi wetu hawa"

"Maendeleo tuliyoyapata kwa miaka mitatu ya Rais Samia ni makubwa, leo tunaona Barabara ya Utete-Nyamwage inavyojengwa, leo unaona ukarabati wa hospitali ya Wilaya na huduma bora zinazotolewa pale. Sisi kama Baraza la Madiwani tunamshukuru sana Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe Mohamed Mchengerwa " alisema Mhe. Chobo.

Mbali na hayo Mhe. Chobo alimshukuru Rais Samia kwa kuridhia Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WAPATIWA MAFUNZO RASMI

    October 25, 2025
  • MJUMBE WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI RUFIJI

    October 24, 2025
  • MWAKILISHI WA MSAJI WA VYAMA VYA SIASA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA RUFIJI

    September 08, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI RUFIJI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUPITIA NA KUFANYA MABADILIKO MADOGO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI

    September 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa