• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

RC KUNENGE AWATAKA MADIWANI KUTOA TAARIFA ZA MAENDELEO YA MIRADI KWA WANANCHI

Posted on: April 23rd, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amewataka Madiwani Wilayani Rufiji kutoa taarifa za Maendeleo ya miradi na mipango ya Halmashauri kwa Wananchi badala ya kuacha wananchi kusubiri kutoa malalamiko katika mikutano ya viongozi.

Kunenge ameyasema hayo Aprili 23. 2022 alipofanya Mkutano na Wananchi wa Kata ya Utete na chemchem wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.

Aidha ametoa pongezi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji  kutekeleza miradi mingi ikiwa ni pamoja na uchukuaji wa hatua mbalimbali kutatua changamoto za Wananchi chini ya kipindi cha mwaka mmoja.

“ Sisi ni viongozi tunafanya kazi kwa takwimu. Hata mwaka hajamaliza lakini amefanya jitihada kubwa. Niwaombe wenzetu ambao ni wawakilishi wa wananchi, mnapofanya maamuzi au mambo yanayotakiwa muende mkawaeleze wananchi wajue. Wasisikie kwenye mikutano hii.” Alisema

Awali katika Mkutano huo baadhi ya Wananchi walihoji juu ya hatua zilizochukuliwa kufuatia tukio la aliyekuwa Daktari wa Zamu kukataa kumhudumia mama mjamzito aliyekuwa katika wakati wa kujifungua kwa kujibu kuwa amechoka licha ya jitihada za wauguzi  kumsihi atoe huduma, pia bi. Ishata Rwambo alilalamikia swala la kutolipwa fedha zake za mizigo baada ya kustaafu pamoja na wengine waliotoa malalamiko juu ya kusuasua kwa miradi hasa mradi wa jingo la miyonzi pamoja na mtambo wake.

Akijibu baadhi ya hoja zilizotolewa katika Mkutano huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji John Lipesi Kayombo amesema Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji tayari imelipa madeni ya Watumishi kwa kutoa fedha takribani Milioni 335 kwa kutumia mapato ya ndani kati madeni yote ya watumishi ambayo yalikuwa milioni 500.

“ tumelipa takribani watumishi 100 kwa kutumia mapato ya ndani. Hivyo nimuombe mama aje ofisini tutamlipa.” Alisema.

Kwa Upande wa jengo la Miyonzi na Mtambo wake Kayombo alisema Halmashauri imetoa fedha  milioni 140 kwaajili ya ujenzi wa jengo jipya na la kisasa ambalo linatarajiwa kukamilika mwaka huu pamoja na mtambo wake.

Aidha kwa upande wa Daktari aliyefanya kosa la kukataa kumhudumia mgonjwa Kayombo amesema Halmashauri ilichukulia jambo hilo kwa uzito na kuwa tayari imeshachukua hatua na kuiandikia barua bodi ya Madaktari ili waweze kuchukua maamuzi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa