• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

RC KUNENGE AIPONGEZA RUFIJI KWA KUPATA HATI SAFI, AHITAJI MATUMIZI YENYE TIJA KWA WANAN

Posted on: June 19th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge, ameipongeza halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kwa kupata hati safi huku akihitaji matumizi yenye tija ya kuangalia namna ya kubadili maisha ya Wananchi kupitia pesa zinazokusanywa au kuletwa kutoka serikali kuu.

RC Kunenge alitoa pongezi hizo na kusema hay oleo Jumatano Juni 19, 2024 katika baraza maalumu la kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji.

“mimi ninawapongeza lakini sasa  tuangalie namna ya kuyabadili maisha ya Wananchi wetu” alisema Kunenge.

Pia Kunenge aliitaka Halmashauri kumaliza miradi ya zamani iliyoanza kutekelezwa badala ya kuanzisha miradi mengine wakati ya zamani haijakwisha, ili ianze kutoa huduma kwa Wananchi.

Akilieleza baraza juu ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Mhe. Abdul Chobo amesema Halmashauri imepata hati safi baada ya ukaguzi wa hesabu za fedha za mwaka 2022/2023 ulioishia juni 30, 2023.

 “tayari halmashauri imeshapokea rasmi matokeo ya ukaguzi huo, ambapo taarifa kamili imewasilishwa kwa Mkurugenzi Mtendaji, katika ukaguzi huo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali amejiridhisha kuwa kutokana na ushahidi wa vielelezo alivyopitia, Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imepata hati safi” alisema Chobo.

Aliongeza kuwa,  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali ameridhika kuwa miamala na taratibu za manunuzi zimezingatia matakwa ya sheria ya manunuzi ya umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013

Chobo alifafanua Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ilikuwa na hoja 56 na maagizo 8 ya kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa LAC ambapo menejimenti ilizipatia majibu hoja na maagizo yote na kuwasilisha kwa Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali CAG.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMWAGA BIL. 50 BARABARA YA IKWIRIRI -MKONGO

    June 23, 2025
  • DC KOMBA AAGIZA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI ITOLEWE KWA KATA ZOTE RUFIJI.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA RUFIJI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI, WASISITIZWA KUFANYAKAZI KWA BIDII, WAONYWA KUTOA HUDUMA KWA UPENDELEO MAOFISNI

    June 25, 2025
  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa