• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

‘Mwanafunzi anaposhinda na njaa Shuleni, uwezo wake wa kusoma unakuwa sio mzuri’ –Mganga Mkuu

Posted on: February 13th, 2024

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Hamis Abdallah amewataka wajumbe wa vikao vya lishe Wilayani Rufiji kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha Wanafunzi wanakula Chakula cha pamoja shuleni hali itakayosaidia kuongeza uwezo wa kusoma na kupandisha ufahulu wa Wanafunzi.

Dr. Hamis ameyasema hayo katika kikao cha lishe cha robo ya pili ya mwaka 2023/24 kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji leo Februari 13, 2024 ambapo moja ya mambo yaliyoshauriwa mashuleni kuwe na mashamba ya Chakula kwa yale maeneo yasiyokuwa na wanyama waharibifu, au zao la biashara kwa yale maeneo yaliyokuwa na wanyama waharibifu ambayo yatakapouzwa yatayosaidia wanafunzi kula Chakula kwa pamoja wanapokuwa shuleni na kuongeza ufahulu.

Amesema tafiti nyingi zinaonesha  wazi kwamba kama Mtoto atakuwa anashinda na njaa shuleni uwezo wake wa kusoma unakuwa sio mzuri.

“… nafikiri tunaona matokeo ya kidato cha nne, la saba, matokeo ya form two (kidato cha pili) na form four (kidato cha nne), kwa hiyo sisi kama Wajumbe wa vikao vya lishe tuhakikishe tunaweka mikakati mbalimbali, kwasababu na sisi kwenye huo ufahulu kuna asilimia yetu tunaiweka” amesisitiza Hamis.

Kwa upande wake, Afisa lishe Wilaya ya Rufiji Omary Kombo amesema moja ya changamoto ya suala la lishe mashuleni ni mwitikio hafifu wa Wazazi na Walezi kutoa Chakula cha mchana kwa ajili ya Wananfunzi wanapokuwa shuleni.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa