• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Mvua Yaua Mtoto Rufiji, Wazazi Wahimizwa Kuchukua Tahadhari.

Posted on: November 1st, 2023


Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Ayubu Sebabile amewataka Wananchi kuwadhibiti Watoto wasicheze kwenye mvua  wakati  ikiendelea kunyesha ili kuwakinga na madhara mbalimbali ikiwemo kupigwa na radi  pamoja na kuchukua tahadhari dhidi ya mvua zinazoendelea kunyesha.

Kauli hiyo imekuja alipokwenda kutoa pole kwenye tukio la kifo cha Mtoto wa miaka 3 ambaye amekutwa amefariki kwenye mtaro wa maji kwa madai ya kusombwa na Maji ya mvua leo Novemba 1, 2023 katika Kitongoji cha Nyangwai Kata ya Chemchem Utete Rufiji.

"lakini kipindi hiki mvua ni nyingi sana, Wananchi waendelee kuchukua tahadhari na kufuatilia vyonbo vya habari ili kujua utabiri wa hali ya hewa" . Alisistiza Sebabili

Wakizungumzia tukio hilo baadhi ya mashuhuda, wamesema wakati mvua ikiendelea kunyesha mtoto huyo alikuwa anafuata kiatu chake kilichokuwa kinaelea kwenye mtaro, ndipo akusombwa na Maji hali iliyosababisha kifo chake.

"Yule Mtoto alikuwa anachezea Maji na wenzake, sasa alikuwa anafuata kiatu kwenye mtaro ndo akasombwa na Maji".

Akizungumza kwa hisia Baba wa Mtoto huyo, Peter Masunga amesema amezipata taarifa hizo akiwa shambani kutoka kwa rafiki yake.

"alikuja akanikuta nakula shambani, akaniambia twende nyumbani haraka kuna mgonjwa kazidiwa, nafika nakuta watu wengi nyumbani kwangu na nikapewa taarifa za msiba wa Mtoto wangu"Amesimulia Masunga.

Mtendaji wa Kata ya Chemchem- Jonathan Chingwile, amewaomba Wazazi kuwachunga watoto wao hasa kipindi hiki cha mvua.

Ikumbukwe juzi Oktoba 30, 2023 mvua imeezua paa katika nyumba tatu za Wakazi wa Kitongoji cha Kiwili Kata ya Utete Rufiji.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa