• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MPEKELEKE MTOTO SHULE HATA KAMA HANA UNIFORM- DC GOWELE

Posted on: January 8th, 2024

“serikali imeshasema Mtoto hata kama hana uniform aje hivyohivyo shuleni, si lazima awe na uniform kwa sasa, waje Shuleni hivyohivyo walivyo, waripoti shule alafu utaratibu wa kuwatafutia utaendelea. endapo hawataripoti Wazazi tutawachukulia hatua kali”

Hayo yamesisitizwa leo January 8, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele wakati akiwapokea Wanafunzi wa kidato cha kwanza, darasa la kwanza na Wanafunzi wa shule za awali katika Shule tofauti Wilayani Rufiji, walioripiti mara baada ya shule kufunguliwa leo ikiwa ni ziara yake ya kuangalia kama Shule mpya zilizojengwa na serikali zimeanza kupokea Wanafunzi.

Amesema kuwa kama serikali imefanya jitihada kubwa ya kuboresha miundombinu ya Shule ili kuhakikisha Wanafunzi wanapata elimu bora huku akiwataka wazazi kuhakikisha wanapeleka watoto shuleni ndani ya wiki na kuweka bayana kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa wazazi watakaoshindwa kupeleka watoto ndani ya wiki hii.

“Hii wiki nzima nitakuwa napita katika shule kuhakiki idadi ya Watoto lakini pia kuchukua takwimu kutoka kwa Watendaji Kata” amesisitiza Gowele.

Shule alizotembelea ni Shule ya Sekondari Bibi Titi, Shule ya sekondari Chemchem, Shule ya Msingi Rufiji na Shule ya Sekondari Rufiji.

Kwa upande wao Maafisa elimu Sekondari na Msingi Wilaya ya Rufiji wamesema wamefanya jitihada za kuhakikisha wanawahamasisha Wazazi pamoja na Wakuu wa Shule ili Wanafunzi waripoti kwa wingi mashuleni kama ilivyokusudiwa na serikali  kuona kila Mtoto wa Kitanzania anapata haki ya elimu.

Kwa upande wa Wanafunzi walioripoti Shuleni wameipongeza Serikali kwa kujenga na kuboresha  miundombinu ya shule huku wakiahidi kusoma kwa bidii.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa