• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MNYEMA APONGEZA UKARABATI WA HOSPITALI YA WILAYA YA RUFIJI (UTETE).

Posted on: August 26th, 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi. Pili Mnyema ametoa pongezi kwa Viongzii Wilayani Rufiji kwa kusimamia vizuri miradi ya Serikali ikiwemo ukarabati wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Rufiji ambayo kabla yalikuwa yamechakaa.

Bi. Mnyema alitoa pongezi hizo wakati akikagua ukarabati wa hospitali hiyo leo Agosti 26, 2025 ikiwa ni ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungmza na Watumishi.


Vilevike alitoa pongezi kwa namna Viongzi Wilayani Rufiji wanavyoushughulikia migogoro ya Wakulima na Wafugaji ambapo Katika Kijiji Cha Nyamwage Kata ya Mbwara Serikali imeanza kujenga mpaka unaotenganisha eneo la Wafugaji na Wakulima ili  kupunguza migogoro ya mara kwa mara baina yao.

"Serikali ya Rais Samia inawajali ndo maana Wafugaji wameletewa chanjo na Wakulima wanaletewa mbolea za ruzuku, kwahiyo kila mmoja ana umuhimu. Mpaka huu utakapokamilika Mfugaji akae kwenye eneo lake na Mkulima akae kwenye eneo lake" alisisitiza Mnyema.

Aliongeza kuwa adhima ya Serikali ni kuona Mkulima na Mfugaji wanaishi kwa  bila ya migogoro.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • Camfed YAPONGEZWA KWA KUWASHIKA MKONO WANAFUNZI WA KIKE SHULENI

    August 30, 2025
  • DC KOMBA ALITAKAJ JESHI LA AKIBA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI RUFIJI.

    August 24, 2025
  • MNYEMA APONGEZA UKARABATI WA HOSPITALI YA WILAYA YA RUFIJI (UTETE).

    August 26, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA RUFIJI WAANZA MAFUNZO RASMI

    August 04, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa