• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh: Juma A. Njwayo awahimiza wazazi kutenda haki kwa watoto wote; alisema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 16 Juni 2017

Posted on: June 16th, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh: Juma A. Njwayo awataka wazazi kutenda haki kwa watoto wote bila kujali jinsi na hali ya Afya(ulemavu). Akiongea na wazazi pamoja na watoto waliokusanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Mapinduzi kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika alisema:-

Mtoto ni haki yake kulindwa na ni jukumu la kila mzazi kuhakikisha kwamba mtoto/watoto wake analindwa dhidi ya magonjwa, mimba za utotoni na kulawiti

Wazazi watoe fursa sawa kwa watoto bila kuwatenga kijinsia. Alitoa elimu kwa wazazi na watoto waliokusanyika eneo hilo kuwaq watoto wana haki sawa hivyo wazazi waswatenge/kuwababua watoto wao kijinsia katika kuwatimizia mahitaji mbalimbali. Alisema kuwa ile dhana ya kusema kuwa elimu ni kwa ajili ya mtoto wa kiume tu imeshapitwa na wakati na kamwe haikubaliki hivyo kama ni elimu basi wapewe wote. Alitoa agizo kwa wazazi wenye watoto walioacha shule (watoro wa muda mrefu) kuhakikisha wanawapeleka shule mapema iwezekanavyo watakaokaidi amri hii watawajibishwa kwa mujibu wa sheria. 

Ni jukumu la kila mzazi kuhakikisha kwamba mtoto/watoto wake wanakuwa na Afya njema ikiwemo kupewa chanjo mbalimbali. Alitumia fursa hiyo kutoa kinga na chanjo ya minyoo na kinga ya magonjwa mengine kwa baadhi ya watoto waliohudhuria kwenye maadhimisho hayo.

Mimba za utotoni, manyanyaso na ulawiti dhidi ya watoto havikubalika na inatakiwa kila mwananchi akemee tabia kama hizo zinazofanywa na baadhi ya wananchi.

Kupata hotuba ya Mh: Mkuu wa Wilaya:  BOFYA HAPA

 

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa