• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh: Juma A. Njwayo atoa tiba ya kukabiliana na Matokeo mabovu darasa la VII Wialayani Rufiji

Posted on: November 2nd, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe: Juma A. Njwayo asema hali ya matokeo mabovu ya darasa la saba katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji haivumiliki. Akiongea katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichohudhuriwa na waheshimiwa madiwani, wakuu wa Iadara na vitengo, watendaji kata na vijiji na wageni waalikwa mapema Novemba 2, 2017 katika ukumbi wa Halmashauri Wialayani Rufiji  alisema amepokea matokeo ya darasa la VII 2017 kwa masikitiko makubwa kutokana na Halmashauri kufanya vibaya katika matokeo ya mtihani huo. 

Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imeshika nafasi ya 10 kutoka mwisho kati ya Halmashauri 167 zilizofanya mtihani huo mwaka 2017 na imekuwa ya mwisho katika Mkoa wa Pwani. Mhe: Mkuu wa Wilaya amesema hali hiyo ya matokeo mabovu haivumiliki kamwe. Ili kunusuru swala hilo amesema ni lazima kata zifanye mikutano na wadau wote wa elimu kutafuta suluhisho la tatizo hilo. Kikao cha pamoja kitafanyika mapema mwezi Januari 2018 ili kujadili kwa pamoja mapendekezo yaliyotolewa na wadau mbalimbali katika kata zote 13 za halmashauri ya Wialaya ya Rufiji.

Katika kikao hicho pia Mhe: Mkuu wa Wialaya alitoa onyo kwa wakulima wanaouza korosho nje ya maghala (mnada). Msimu wa korosho ulishafunguliwa tangu Oktoba 2017 na kuna taarifa kuwa baadhi ya wakulima wanauza korosho zao nje ya utaratibu uliopangwa na Serikali kuwa korosho iuzwe kwa njia ya mnada. Madiwani wana jukumu la kuwaelimisha wananchi katika kata zao kuhusu umuhimu wa kuuza korosho kwa njia ya mnada.

Kuhusu swala la kufunguliwa tawi la Benki katika Halmashauri ya Wialaya ya Rufiji Mhe: Mkuu wa Wialaya alisema kuwa mchakato bado unaendelea na kuna uwezekano katika mwaka 2018 NMB wakafungua tawi lao la Benki Wialayani Rufiji. Hivyo wananchi na watendaji wa Rufiji wawe na subira wakati swala hilo likifanyiwa kazi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa