• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MKUU WA WILAYA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU - RUFIJI

Posted on: August 13th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh. Luteni kanali Ptrick K. Sawala leo ameongoza kikao cha kamati ya uvunaji wa mazao ya misitu wilayani Rufiji baada ya kumpokea Waziri Mkuu Mh. Kasim Majaliwa aliyepitia wilayani hapo kuelekea Mkoani Lindi.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Katibu Tawala wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wilaya, kaimu Mkurugenzi Mtendaji mamlaka ya mji mdogo, Afisa misitu wilaya, kaimu meneja wa misitu wilaya ya Rufiji, wenyeviti wa vijiji, kamati ya ulinzi na usalama, askari wa hifadhi za misitu, watendaji wa vijiji na watendaji kata.

Katika kikao hicho mwenyekiti wa kikao ambaye ni Mkuu wa Wilaya amewaongoza wajumbe katika kujadili na kupitisha maombi ya wavunaji wa mazao ya misitu kwa msimu wa mwaka 2020/2021.

Aidha katika kikao hicho katibu wa kikao ambaye ni Meneja wa hifadhi ya rasilimali za mazao ya misitu wilaya ya Rufiji aliwasilisha mpango wa uvunaji kwa mwaka 2020/2021 na kusema kuwa kwa sasa wamejipanga vizuri kutumia rasilimali hizo kuongeza kipato kwa halmashauri na kwa Taifa kwa ujumla. Ndugu Peter kale(Meneja wa hifadhi ya misitu) amevitaja vijiji vilivyowekwa katika mpango kuwa ni Golani,Kiwili, siasa, namakono,mwaseni,kipugira,mkongo kusini,mloka, ndundunyikanza, mbwara, kilimani mashariki, kilimani magharibi, kipo, nyaminywili, mkongo kaskazini, ruwe, nyawanje ngwembele, nyamwage,mtanzamsona,tawi, chumbi A, chumbi B, chumbi C, Ikwiriri kaskazini, nyandumbi, kiwanga, nambunju, kipei, kitapi, shela. Mazao yanayotarajiwa kuvunwa ni magogo,mkaa, kuni, pamoja na nguzo.

Akizungumza katika kikao hicho Mheshimiwa sawala ambaye ni mwenyekiti ameagiza kuwa watu waliokamatwa wakivuna magogo kabla ya kupitishwa wapelekwe ofisini kwake mara moja. Ameongeza pia, magogo yaliyokamatwa yaelekezwe kwenye utengenezaji  wa madawati t5akribani elfu sita ambayo yanatakiwa kuwa tayari ifikapo tar 24/8/2020 ili kumaliza  changamoto ya madawati kwa shule za msingi na sekondari.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa