• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MKUU WA WILAYA AFANYA KIKAO CHA KWANZA NA WAFANYAKAZI .

Posted on: August 12th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh. Luteni kanali Patrick K. Sawala amazungumza na wafanyakazi wa halmashauri leo ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza na watumishi tangu aanze kazi.

Akizungumza na wafanyakazi hao Mh. Sawala amesisitiza juu ya utendaji kwa bidii,uadilifu wa hali ya juu na ubunifu. “ …kwahiyo ninaomba kila mtu kwenye idara yake awe makini”. Alisema. Katika swala la uwajibikaji Mh. Sawala ameagiza Idara ya Elimu Msingi na Sekondari kupendekeza namna ya kutengeneza madawati zaidi ya elfu tano na kueleza kuwa tatizo hilo limepewa muda wa siku takribani kumi ili liwe limeisha kwa shule zote za wilaya ya Rufiji. “Tumepewa dealine mpaka tarehe 24 /08/2020 tatizo la madawati liwe limeisha.”

Mh. Sawala amesema kuwa “ mfanya kazi atakayekuwa anachelewesha utendaji kazi na kupelekea kuchelewa kwa maendeleo atamshtaki” aliisema. kwa upande wa idara ya kilimo amesisitiza juu ya uzalishaji kwa kutumia maji na maeneo mapori yaliyopo ili kufanya uzalishaji. “ hainiingii akilini wanarufiji tunamapori , wanarufiji tuna mto, alafu mwanarufiji anakula nyanya kutoka Dar es salaam. Hatusemi zisije lakini na sisi tuzalishe. Afisa mipango tunataka uje na mipango ya kuongeza mapato ya halamshauri.” Alisema.

Aidha Mh. Sawala amesisitiza juu ya swala  la ukaribu wa taarifa baina ya wafanyakazi wa idara na wakuu wa idara.

Akifunga mkutano huo Mh. Mkuu wa wilaya alimalizia kwa kaulimbiu isemayo “ Rufiji Timu Moja, Rufiji Penda Kazi”.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa