• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MILIONI 545,864,852 ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU.

Posted on: December 15th, 2021


Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji leo tarehe 15 Desemba 2021 imekabidhi jumla ya shilingi Milioni 545, 864,852 kwa Vijana, Wanawake na Wenye Ulemavu. 
Akizungumza wakati wa kukabidhi hundi ya mfano kwa vikundi hivyo Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Ligomba amewataka wanufaika hao kuhakikisha wanarejesha mikopo hiyo kwa wakati ili kutimiza lengo la Serikali la kuwainua Wananchi wake kiuchumi.


" Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikisha inatoa mikopo isiyokuwa na riba kwa Wananchi wake ili waweze kunufaika. Hivyo ni wajibu wenu kurudisha mikopo hiyo kwa wakati." Alisema Ligomba.


Sambamba na hundi hiyo ya mfano Mhe. Ligomba amekabidhi pikipiki 15 kwa vikundi vya bodaboda.


Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmasahuri Edward Mwamotela ametoa ushauri kwa Wanufaika wa mikopo ya bila riba kuamua kufanya kazi na kuanzisha miradi mikubwa itakayowawezesha kupewa mikopo mikubwa zaidi badala ya kuendelea kupokea fedha kidogo kutokana na udogo wa miradi wanayobuni.


" Ni wakati Sasa tufikirie kuanzisha miradi mikubwa zaidi ili mpate mikopo mikubwa itakayoleta tija katika uzalisha na kupanda kwa uchumi Wilayani kwetu." Alisema.


Akitoa ushauri kwa Wanufaika wa mikopo hiyo, Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Rufiji George Mbilinyi amesema idara ya Maendeleo ya Jamii Wilayani Rufiji Ina nafasi kubwa Kama wadau wa maendeleo kushiriki katika miradi inayotekelezwa na Serikali huku akisisitiza Wanufaika hao kushiriki kikamilifu katika miradi hiyo.


Khalfan Kulgio moja Kati ya Wanufaika wa mikopo hiyo ameishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha nyingi na kuwainua Wananchi wake kiuchumi kwani mikopo hiyo imebadilisha maisha Yao toka kwenye hatua sifuri mpaka Sasa kumiliki Vyombo vya biashara zikiwemo pikipiki.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa