• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MEJA GOWELE NI MFANO WA KUIGWA KUWEZESHA WANAFUNZI WANOTOKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU - EDWARD BUGANGA

Posted on: January 24th, 2023



Na Emmanuel Kapandila - Rufiji


Katika Kutekeleza nia ya kutoa hamasa na kuibua Watoto wengi wanakosa nafasi za kuendelea kielimu Kwa kukosa fursa ya kupata sare, vifaa vya shuleni na Msaada wa kufuatiliwa na kujaliwa kutokana na uwepo wa MAZINGIRA magumu ya kiuchumi, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele anaamua kuongeza chachu na hamasa ya kuongeza bidii za masomo kwa Watoto hao.


Akizungumza Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya wakati akikabidhi vifaa hivyo  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ambaye pia ni Afisa Elimu ya awali na Msingi Wilayani humo Edward Buganga amesema Mkuu wa Wilaya ya Rufiji amekuwa Msaada mkuwa Kwa Watoto wa Rufiji hususani katika maswala ya Elimu na amekuwa mdau mkubwa WA kupinga Watoto wenye umri wa Kwenda Shule kubebeshwa mzigo wa kutafuta kipato Cha nyumbani Kwa kuuza vitu maeneo ya vituo vya mabasi pamoja na mitaani. 


" Hakika huu ni mfano wa kuigwa. Wadau pamoja na sisi sote tulipo Rufiji na nje ya Rufiji tunao wajibu wa kuchukua hatua za haraka kupitia mfano huu" Alisema Buganga 


Buganga ameeleza kuwa Watoto hao bado wanahitaji Msaada zaidi ikiwemo Kuwezeshwa kupata chakula shuleni.


" Hadi Sasa Wilaya ya Rufiji inatekeleza kampeni ya Watoto kula chakula shuleni ambapo Halmashauri ilianza Kwa kutoa mfano Kwa kutoa chakula Kwa Shule Tano . Wanarufiji ndani na nje ya Wilaya tuone haja ya kufunga Mkono jitihada hizi Ili Watoto wote bila kubagua mazingira Yao wapate chakula kama tulivyoazimia kupitia kikao Cha Wadau wa Elimu kilicholenga kufanya tathmini ya matokeo ya 2023." Alisema Buganga.


Aidha Mkuu wa Wilaya ya Rufiji ametoa pongezi Kwa Serikali ya awamu ya Sita  pamoja na Mbunge WA Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Kwa kuendelea kuwagusa Wananchi hususani Kuwajengea miundombinu Bora ya Elimu ambapo amesema ni wajibu wa Wananchi kutumia fursa hiyo na kunufaika nayo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa