• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MCHENGERWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA LA BIBITITI MOHAMED – MOHORO

Posted on: December 1st, 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa hii leo ameshuhudia utiaji saini wa ujenzi wa daraja la Bibititi Mohamed, Mohoro-Rufiji lenye urefu wa mita 80 na kina cha mita 8.9 kutoka chini hadi juu usawa wa mto, ujenzi wa boksi kalavat mbili pamoja na ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita moja.

Utiaji saini huu umefanyika kwenye viwanja vya Mohoro wilayani Rufiji leo tarehe 01.12.2023 na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali kutoka ngazi ya Wizara na TARURA Makao Makuu.

Baada ya kusainiwa mkataba huo Mhe. Mchengerwa amesema Fedha za ujenzi wa darahja hilo ni nyingi sana ukilinganisha na mahitaji makubwa ya ujenzi wa Miundombinu nchini hivyo amewataka TARURA kusimamia kazi hiyo kwa weledi na kwa kuzingatia masharti ya Mikataba na kuhakikisha kazi inakamilika kwa wakati na kwa ubora ulioanishwa kimkataba (control on time overrun & poor quality works).

Pia amewataka TARURA Kuepuka  kuongezeka kwa gharama wakati wa utekelezaji na Kuzingatia vipengele muhimu vya mikataba vinavyotaka Makandarasi kuwasilisha dhamana za malipo na dhamana ya utendaji ili kuiepusha Serikali kupata hasara pale mkandarasi anaposhindwa kukamilisha  kazi.

‘Niwatake kuhakikisha kuwa nyaraka halali za dhamana kwa ajili ya malipo ya awali zinawasilishwa, dhamana za utendaji kazi na kufuatilia pale zinapomaliza muda wake wakati muda mradi haujakamilika zihuishwe’ amesema Mhe. Mchengerwa.

Halkadhalika amewataka kutumia ujenzi huo kwa ajili ya mafunzo ya Wahandisi chipukizi ili kuwajengea uwezo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi kama hiyo baadae

Akizungumza katika hafla hiyo Mtendaji Mkuu wa TARURA Eng. Victor Seff amesema Makisio ya gharama za mradi huo wa ujenzi unategemewa kugharibu takriban shilingi bilioni 11.5 ambapo muda wa utekelezaji wa mradi huo unategemewa ukiwa ni miezi 18 kwakutumia fedha za mapato ya ndani.

Mkataba huo umesainiwa baina ya mkandarasi mzawa Mac contractor na Wakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA)

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa