• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MCHAKATO WA UTOAJI ARIDHI KUCHUNGUZWA UPYA

Posted on: August 14th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kufanya uchunguzi wa Mihtasari ya Kijiji iliyoandikwa wakati wa vikao vya Mkutano Mkuu vilivyofanyika kuridhia utoaji wa aridhi kwa Mwekezaji.


Meja Gowele ameyasema hayo katika Mkutano na Wananchi wa Kijiji Cha Kilimani Mashariki uliofanyika Katika viwanja vya ofisi ya Kijiji Kata ya Ngorongo Wilayani Rufiji baada ya kupokea malalamiko toka kwa Wananchi, ambao walilalamika juu ya eneo lao kuuzwa na Benki kutokana na Mwekezaji wa kampuni ya RAT aliyekopa  Benki kwa kutumia hati zilizoonesha kuwa ni za eneo la Kijiji hicho kushindwa kulipa deni.


" Hili lazima ntalibeba sitawaacha peke yenu. Ila nimewaambia Mwekezaji alipataje hati kupitia makubaliano yenu wenyewe. Niwatake TAKUKURU kuchunguza nyaraka zote za Mihtasari iliyokaliwa na wote waliohusika watajulikana." Alisema Gowele.


Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji John Kayombo aliwata Wananchi hao kuachia uongozi wa Wilaya kufanyia kazi malalamiko hayo na kupunguza malalamiko kipindi ambacho swala Hilo lipo kwenye uchunguzi.


Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Ngorongo Hassan Ally Mpange amekili kuziona nyaraka zote zilizopitishwa Katika Kijiji hicho ambazo zimetoa uhalali kwa Mwekezaji wa kampuni ya RAT kupata hati ya eneo hilo mbali na kuwa Wananchi hawakukubali Mwekezaji huyo kupata eneo.


" Ndugu zangu huu ni wakati wa kujitafakari, Tuwe makini sana tunapochagua vijana kutuwakilisha kwenye nafasi za uongozi wa Vijiji na Kata." Alisema mpange


Meja Gowele amewataka Wananchi wa Kata ya Ngorongo na Rufiji Kwa ujumla kuhakikisha Wanashiriki sensa ya Watu na Makazi ili kuiwezesha Serikali kujua idadi ya Watu wake na kupanga mipango bora kwa Maendeleo

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa