• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MCHAKATO WA UKUSANYAJI KODI ZA MAJENGO KUANZA RASMI RUFIJI.

Posted on: February 8th, 2021



Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Rufiji Ndugu Rashid Salum Salum amewataka watendaji wa Vijiji, Kata na Maafisa Tarafa kuanza rasmi zoezi la Utambuzi wa Nyumba zinazotakiwa kulipiwa kodi pamoja na taarifa sahihi za Wamiliki au Wasimamizi wa Nyumba zote katika Halmashauri zenye sifa ya kulipiwa kodi ya Majengo.

Ameyasema hayo katika kikao maalum kilichojumuisha Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Wenyeviti wa Vijiji, Watendaji wa Vijiji pamoja na baadhi ya Maafisa wa Halmashauri Kufuatia maelekezo  ya Serikali yaliyotolewa na Mhe. Suleiman Jafo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI  katika kikao maalumu cha Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya pamoja na Wakurugenzi watendaji wa Manispaa na Halmashauri zote Nchini kilichofanyika tarehe 5/2/2021 Mjini Dodoma.

 “ Maelekezo ya Serikali yametutaka Wakurugenzi kusimamia ukusanyaji wa kodi za majengo,ushuru wa mabango na vitambulisho vya wajasiriamali. Katika utekelezaji wa agizo hili tutaanza kazi hii kwa awamu na awamu ya kwanza itakuwa ni utambuzi wa majengo yanayostahili kulipiwa kodi pamoja na taarifa sahihi za wamiliki wa majengo hayo zikiwa zimesainiwa na Mwenyekiti wa Kijiji husika lengo likiwa ni kuthibitisha usahihi wa taarifa hizo.” “ Haya ni maelekezo ya Serikali na yanaanza kutekelezwa kuanzia leo na mwisho wa zoezi hili la utambuzi ni tarehe 15/02/202.” Alisisitiza.

Aidha amewataka Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanaratibu vikao vya Vijiji kwa mujibu wa miongozo ili kupunguza kero za Wananchi zinazosababishwa na kutofanya Vikao vya kisheria ngazi ya Vijiji.

Pia amewaomba Wenyeviti wa Vijiji kushiriki kikamalifu katika zoezi la utambuzi, na ujenzi wa madarasa unaoendelea katika Vijiji na kata zao hususani katika kuhamasisha ushiriki wa Wananchi pindi wanapohitajika.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halamshauri Mhe. Juma Ligoma amewataka Wenye Viti wa Halamshauri kusimamia maelekezo hayo na kufanya kazi kwa umoja na mshikamano ili kukamilisha kazi hiyo kwa wakati na kwa ufanisi mkubwa.

Aidha ametumia fursa hiyo kutoa msisitizo juu ya usimamizi wa ujenzi wa mardasa 13 yanayojengwa katika Shule za Sekondari ili kukamilisha kazi hiyo kwa wakati.

 x

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa