• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MBEGU ZAPOKELEWA NA KUSAMBAZWA KWA WAKULIMA RUFIJI

Posted on: May 21st, 2024

Wilaya ya Rufiji imepokea Msaada wa mbegu bora ya Mahindi ya kampuni ya SEEDCO kilo 9,100 sawa na mifuko 4,550 ya kilo mbili wenye thamani ya shilingi 63,700,000.00 Kwa awamu ya kwanza kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la  Rufiji Mohamed Mchengerwa   kwa ajili ya kusaidia Wananchi ambao mazao yao yalisombwa na mafuriko.


Katika hatua hiyohiyo, Taasisi ya Lions Club Foundation imetoa kilo 400 sawa na mifuko 200 ya kilo mbili yenye thamani ya shilingi 2,800,000.00.

Usambazaji wa Mbegu hizo kwa awamu ya kwanza umefanyika Mei 19, 2024 ambapo jumla ya kilo 8,984 za mbegu hizo zimesambazwa katika kata ya Mwaseni,Kipugira na Ngorongo.


Akizungumzia hali ya usambazaji wa Mbegu hizo, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa shukrani za dhati Kwa Mbunge wa Jimbo hilo Mohamed Mchengerwa  kwa kujali na kuthamini Wananchi wake Kwa kuhakikisha anatoa Mbegu Kwa Kila Kaya iliyoathiriwa na mafuriko ambapo Kwa awamu ya kwanza Mbegu hizo zitawasaidia Wananchi kupanda tena mazao mashambani baada ya maji kupungua  hali itakayopelekea kurudisha matumaini na kupunguza ukali wa hali ya upungufu wa chakula ambao ungejitokeza baadae.


Aidha amemshukuru Rais Samia Kwa kuimarisha mahusiano na sekta binafsi pamoja na Taasisi mbali mbali ikiwemo Lions Club ambao wameunga mkono jitihada za Mbunge Kwa kuongezea Mbegu Ili Wananchi waendelee na shughuli za Kilimo baada ya mafuriko.

Meja Gowele anaendelea kutoa Wito Kwa Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwa ni pamoja na Watu binafsi kuendelea kuunga Mkono juhudi za Serikali pamoja na Mbunge wa Jimbo Hilo kuwasaidia Mbegu wananchi hao Ili kurudisha Hali Kilimo kama ilivyokuwa awali.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa