• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MARUFUKU KUVAMIA MAENEO YA HIFADHI, KUFANYA SHUGHULI ZA KIBINADAMU

Posted on: July 19th, 2024

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza Khamis, amepiga marufuku kufanya uvamizi na kufanya shughuli za kibinadamu ikiwemo kukata miti, kuni, kufanya ufugaji na kuchoma mkaa katika maeneo ya hifadhi zilizotengwa  huku akiwataka kutunza maeneo hayo kwa ajili ya kukuza uchumi na maendeleo ya Taifa.

"nitoe wito kwa Wananchi wote, niwaambie ni marufuku kwenda kufanya uvamizi na kufanya shughuli za kibinadamu,  shughuli ambazo zinaenda kuharibu na kuchafua mazingira. Kumekuwa na utamaduni wa baadhi ya Watu kwenda kuvua, hasa uvuvi usiokuwa rasmi kwenye maeneo yaliyotengwa na kuwekwa kwa ajili ya shughuli maalum, kuna Watu wanakwenda kufanya shughuli za ufugaji, wengine wanakwenda kukata kuni, kukata miti, kuchoma mkaa kwenye maeneo maalumu yaliyotengwa na kuhifadhiwa"alisema Mhe. Khamis.

Mhe. Khamis alikemea tabia hiyo jana Julai 19, 2024 wakati akihutubia Wananchi kwenye mkutano wa uzinduzi wa hifadhi hai za Rufiji, Kibiti, Mafia na Kilwa (RUMAKI)ambazo sasa zinaingia kwenye mtandao wa hifadhi hai duniani na kutambulika kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi FDC-Ikwiriri.

Uamuzi wa RUMAKI kuwa hifadhi hai ulipitishwa Mei, 2023 katika mkutano mkuu wa kimataifa wa UNESCO uliofanyika Paris- Ufaransa.

Ameeleza kuwa RUMAKI kuwa hifadhi hai kunatoa fursa ya kuunganishwa nguvu katika mtandao wa uhifadhi hai duniani.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Meja Edward Gowele amemshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotangaza vivutio vya utalii pamoja na hifadhi hai, hali inayopelekea kuhamasisha uhifadhi na kukuza uchumi wa nchi

"ameweza kuitangaza nchi yetu kimataifa na Tanzania imeweza kuwa kwenye ramani ya dunia. Nichukue fursa hii ndugu Mgeni Rasmi kuhakikishia kwamba sisi Mkoa wa Pwani ikiwemo Wilaya ya Rufiji tutaendelea kuwa washiriki wazuri wa kuendelea kuhifadhi hifadhi hai ambayo tunayo tukiamini itatuletea maenendeleo na kukuza uchumi wa nchi" alisema DC Gowele.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa