• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WAPATIWA MAFUNZO RASMI

Posted on: October 25th, 2025

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Rufiji Sebastian Gaganija, amewataka Makarani Waongozaji Wapiga kura Jimbo la Rufiji kutunza siri na kujitoa kwenye Vyama vya siasa ili wafanye kazi kwa haki, uadilifu na uaminifu.


Gaganija alisema hayo jana oktoba 25, 2025 wakati wa mafunzo kwa Makarani Waongozaji wapiga kura, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Shule Maalum ya Wasichana Bibi Titi iliyopo Kata ya    Chemchem.


"ni matumaini yangu kazi hii mtaifanya kwa ubora na umahiri mkubwa, nawasihi sana kuishi kwenye kiapo mlichoapa leo, tunafanye Kazi kwa kushirikiana. Tuzingatie muda wa kufungua na kufunga Kituo cha kupigia kura" alisisitiza Gaganija.

Mafunzo hayo ya siku moja yalilenga kukumbusha majukumu ya  Makarani Waongozaji wapiga kura ambao wanawajibu mkubwa katika zoezi Zima la Uchaguzi linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29,2025.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WAPATIWA MAFUNZO RASMI

    October 25, 2025
  • MJUMBE WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI RUFIJI

    October 24, 2025
  • MWAKILISHI WA MSAJI WA VYAMA VYA SIASA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA RUFIJI

    September 08, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI RUFIJI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUPITIA NA KUFANYA MABADILIKO MADOGO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI

    September 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa